janken mbisso
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 248
- 71
uwepo wa Aliens una connection gani na upotevu wa hii ndege?
Au unataka kusema hii ndege imekuwa abducted na hao ET?
Kuna ushahid. Kuwa Hawa vviumbe huja na vyombo vyao(UFO) vyenye uwezo mkubwa kuliko vya binaadam. Tangu miaka ya. 50 kuna report za kupotea kwa ndege na meli huko Bemuda zikihusishwa be Alien.Wa marekan walishinikiza serikali yao kutoa majibu juu ya ujio Wa viumbe hao.mwaka 57 ikaundwa kamati ya uchunguz ambayo ilileta report ikafungiwa kabatin mpaka Leo haijawekwa waz