akabombela
Member
- Dec 20, 2013
- 28
- 7
Kupotea kwa ndege ya shirika la ndege la Malaysia MH370,je tuamini uwepo wa viumbe kutoka sayari nyingine(aliens)au kama wataalam wanavyowaita E.B
.Es, na vifaa vyao UFOs na namna yao ya kuweza kusafirisha watu,vifaa na vyombo vya usafiri kama ndege magari kwa namna ya kuvanish na kupelekwa sehemu wanayoitaka wao(kama ilivyotokea).wakuu maoni tafadhari.

uwepo wa Aliens una connection gani na upotevu wa hii ndege?
Au unataka kusema hii ndege imekuwa abducted na hao ET?
dadavua kidogo hizo aliens ndo nini hasa?wengine wageni kwa hilo
ndio maana nahitaji maoni yako.kama sio inawezekanaje 777MH370ikatoweka tu isionekane na satellites zozote na wakati ilikuwa monitored?

mkuu hii nini?. nimevutiwa sana kiongozi hebu naomba utupe shule japo kwa ufupi. samahani kwa usumbufu utakaojitokeza.
Kiranga aje na fix zake za technologia na sayansi ilivyosonga Mbele kiasi cha radar, gis sijui GPS sijui na nini vingine plus settelite kushindwa kuona commercial jet liner ? Mungu yupo na siri zake zimefunuliwa kwa wachache huku atheist wakibaki kujidanganya na technologia ambayo imeshondwa kuona Boeing 777-200. Kiranga anza kumwaga kariri zako tuone ulivyo mtupu kufikiri ukiendelea jidanganya kwamba techn na sayansi vinajua mambo mengi wakati vonayajua machavhe na Hayo machache viyajuayo vinajua kiduchu tu. Hakuna radar, setelite wala nini katika dunia yote Hata ya mungu wenu amerika iliyoweza kuona commercial jetliner angani...

Carl Sagan once said extraordinary claims must be backed by extraordinary evidence.
Una chuki binafsi na Kiranga? Kama hukubaliani na hoja zake basi toa hoja zako tuzione sio unatoka tu povu hapa. Bora Kiranga anaweza kutumbia kilichotokea kwa mawazo yake kuliko wewe unaeishia kutoka povu tu.