janken mbisso
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 248
- 71
uwepo wa Aliens una connection gani na upotevu wa hii ndege?
Au unataka kusema hii ndege imekuwa abducted na hao ET?
nyinyi ndo mnaoharibu thread kuingiza mambo ya Mungu, hapa tunafikirisha vichwa vyetu kujua ndege iko wapi siku ya 7 leo wee unaanza kutaja habari ya uwepo au kutokuwepo Mungu? basi nenda mbinguni kacheki kama ndege imetua huko kisha tuletee majibuKilichokufikisha kwenye Imani yako ya "hauna Mungu" ni imani yako ya kuiweka sayansi kwenye taswira ipnekana kwamba ina majibu mengi kiasi cha kumfanya Mungu muumba wa hata muziitazo kanuni za kisayansi aonekane hana maana. Ni mfano mdogo sana wa jetliner la Malaysia kukwepa technologia yenye GPS na radar kibao na kupotea bila kuonwa angani ! Au angani kuna milima kiasi kwamba technologia ya wamarekani kulinda anga ilizibwa isiione jetliner ?
Watu wengi hamjaelewa nini ni nini hapa,unaposema sayansi imeshindwa na kusema kwamba hiyo n kaz ya mungu unanipa was was kwamba hata kile unacho kisema hukijui bali uko upande wangu kwamba hakuna mungu.maana kama mungu yupo,why should he test us by doing this??,kwa nn afanye jambo hilo??na kwa kwa nn basi msiwaulize wale mnaowaita watumishi wa mungu mnaowapelekea kila weekend pesa??,kwa nn juyo mungu asiwaambie hao ndege hiyo ilipo ili kuthibitisha uwepo wake(mungu?? ),unapomuhukumu mwana sayansi na kumpa lawama unadhihirisha kwamba hujui uwepo wa mungu.kila siku kiranga anawauliza kama kweli huyo mungu yupo kwa nn ameumba ulimwengu ambao maovu kama haya yanawezekana???, em fikiria eti ukifa akuchome moto,does it bring any sense????.ni kwa nn basi asijidhihirishe kwenu wakati huu wa tatizo na fumbo zito kwa wanadam ambalo linaonekana kuumiza vichwa vywa watu??#mbona hata wana dini hawajafungua vinywa??,tatizo dini huwa haina solution ila sayansi ina majibu,sayansi itakwambia nini kinaweza kuwa kimetokea,ila dini watakwambia hiyo n kaz ya mungu.narudia tena kusema kwamba siku mkiujua ukwel mtakuwa. Huru
Carl Sagan once said extraordinary claims must be backed by extraordinary evidence.
Wewe na Kiranga wako mnahoji "kwa nini" mungu aumbe ulimwengu wenye maovu ! Mkiulizwa uhalali wa swali hilo kuanza na "kwa nini" hamuwezi kujibu, mkiulizwa " maovu" ndiyo madudu gani hamna majibu. Mmesaidiwa kwa swali kwamba simba porini kumla swala ni moja ya maovu ? Hamtoi jibu lolote zaidi sana ni kuuliza swali hilo hilo bila kueleza Yale yanayotufanya tushindwe kujibu na kuwauliza. Jibu basi usaidiwe

"There is no God" is an extraordinary claim, where is the backing extraordinary evidence ??
Prophecy is not evidence.
,,Nakubali kwamba mi na kiranga tunahoji uumbaji wa ulimwengu dhaifu kama huu,,,lakini nikuulize kitu,hivi ukinambia HAPA KUNA MTO ,nami nikasema HAPA HAKUNA MTO,na kwel mto hauonekani kuwepo mahala pale nani kati yetu anatakiwa kutoa ushahidi wa kuwepo kwa mto??,mimi ambaye siuoni ama wewe ambaye huuoni ila unasikia upo?
Hiv nikikuuliza upendo ni nini utajibu nini??,na kama ukijibu upendo maana yake utakuwa umeshajibu uovu uliouliza!!,
Swala ninabaki pale pale,,,KWA NINI MUNGU MWENYE UPENDO NA UKUU WOTE AMESHINDWA KUUMBA DUNIA AMBAYO MAOVU HAYAWEZEKANI.,hivi unadhan amekuba ili iweje??,na kwa nn aamue kuba??,em nambie kwa nn shetan anaoperate machoni pa mungu??,je unakili kwamba mungu ndiye anamuongoza shetani ??, jibi kwanza hayo
Unapenda ujibiwe ili kudesa jibu kwa swali ulilizwa ? Mmeandika Mungu kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana, nimuuliza maovu ndiyo madudu gani ? Badala ya kujibu unanipa swali ati nikilijibu nitakuwa nimepata jibu la uovu ? Madhara ya kukariri hayo , maovu ni nini ? Huyo mengine yatajibiwa nikielewa nini wamaanisha Usomapo maovu.
Je ? Mimi kula samaki nao ni uovu ?
Sikia mkuu,unapomwelezea mungu hutaacha kueleza ndani yake maneno kama upendo,wema,amani,utakatifu,n.k,sasa pia kwa upande mwingine maneno kama uovu,magonjwa,chuki,hasira n.k yanapatikana.sasa kwa kuwa wewe uko upande wa Mungu ndo mana nikataka nijue unamaana gani ukisema upendo,kabla sijakujibu uovu n nn"
,,Nakubali kwamba mi na kiranga tunahoji uumbaji wa ulimwengu dhaifu kama huu,,,lakini nikuulize kitu,hivi ukinambia HAPA KUNA MTO ,nami nikasema HAPA HAKUNA MTO,na kwel mto hauonekani kuwepo mahala pale nani kati yetu anatakiwa kutoa ushahidi wa kuwepo kwa mto??,mimi ambaye siuoni ama wewe ambaye huuoni ila unasikia upo?
Hiv nikikuuliza upendo ni nini utajibu nini??,na kama ukijibu upendo maana yake utakuwa umeshajibu uovu uliouliza!!,
Swala ninabaki pale pale,,,KWA NINI MUNGU MWENYE UPENDO NA UKUU WOTE AMESHINDWA KUUMBA DUNIA AMBAYO MAOVU HAYAWEZEKANI.,hivi unadhan amekuba ili iweje??,na kwa nn aamue kuba??,em nambie kwa nn shetan anaoperate machoni pa mungu??,je unakili kwamba mungu ndiye anamuongoza shetani ??, jibi kwanza hayo
nikumeelezea Mungu ninatumia maneno kama mwanzilishi wa uhai na muumbaji wa ulimwengu na yeye alikuwa kabla ya wakati, ama kuhusu upendo wa Mungu hakuna shaka juu ya hilo,nitakacho jua toka kwako ni nini maana ya upendo au mateso kwenye ulimwengu wa hakuna Mungu ?
kumchoma binadam mwenzio sindano huku ukijua inaumiza,lakini kwa dhamira ya kumponya huo ni upendo,kumpinga fimbo mtoto ili kumrudi kwa ukengeufu japo anaumia huo ni upendo, sasa eleza wewe upendo ndani ya hakuna Mungu ukoje ?
wewe jibu swali uliloulizwa then uliza swali lako...
Mimi mwenyewe ni mmojawapo wa watu wanajiuliza the same question, na sipati jibu,ila kwenye maandiko mbali tunaambiwa kuwa mungu alipomuumba binadamu alimpa uwezo/utashi wa kutambua zuri na baya,then akamwacha free ili binadamu pekee yake ajiamulie mambo yake,so akili zetu na mawazo yetu hayaongozwi na mungu moja kwa moja,ila unapoamua wewe mwenyewe then unaweza kuongozwa naye kwa kupitia vitabu mbali mbali vya imani na kuishi kama maandiko/mafundisho yanavyosema...!!!na ndio maana kuna kipindi alikuwa akituma manabii kwenda kuokoa watu wanaokuwa utumwani (eg:moses), na kuna baadhi hata baada ya kutolewa kwenye utumwa walimwasi tena,pamoja na kuonyeshwa miujiza yote, hii inaniambia kwamba mungu hana control ya moja kwa moja na binadamu wote,ila wale walioamua wenyewe kwa hiari yao
Bado unazidi kuchanganya mambo mkuu,mwanzilishi wa uhai kwa maana ipimuumbji si ndio???,are u sure,??,ok hilo tuliache,,naanza kukujibu kama ifuatavyo
1.kumchoma mtu sindano ni mojawapo ya ushadi kaba mungu wako kashindwa kuumba ulimwengu ambao maovu hayapo.kwa hiyo ni udhaifu mmojawapo.kujua kwamba ataumia ama la haina msingi sana kwa maana binadam anatumia uwezo wake binafsi kufanya kile mungu wako ambacho amekiruhusu wakati uwezo wa kuzuia anao(kama mnavoamini)
2..kumchapa fimbo mtoto pia kusingekuwepo kama unayesema mwanzilishi wa dunia angeamua kuumba ulimwengu uliokamilika,
Kama aliwahukumu Adam na eva nawakati alijua kabisa watakula tunda,we unashangaa binadam kumchapatoto aliyekosa.hujui kwamba udhaifu hu ama kosa hili ni la yule unaesema kaumba kwa upendo.tafakar,