Kupotea sokoni kwa vinywaji vya MO mll 400 nini shida?

acheni kudanganya humu jamani hivyo vinywaji havijafungiwa Bali ameishiwa sukari ya kutengenezea ndo ipo bandarini anasubiri kuitoa, na hili tatzo lilianza mwaka Jana mwishoni
 
Kuna fununu kuwa sukari yao imefungiwa
Mo ana kiwanda cha sukari? Mo ni mhuni tu kama wahuni wengine wa manzese..

Huyu jamaa siku zake zinahesabika, alikuwa anakibali cha kuangiza sukari kutoka nje anaingiza nchini halafu anaifaulisha kwenye mifuko yenye nembo ya kampuni yake halafu anapiga hela

Azam kasha kuwa mjanja hela zake sasa hivi anazirejesha kwa jamii kwa kutoa ajira na kufungua viwanda huko pwani analima shamba la miwa laana, hadi 2020 anatengeneza humo humo sambani hospital na nyumba za kuishi wafanyakazi wake, zanzibar anajenga kijiji

Jiulize pamoja na mo kufanya biashara kimagumashi hyo hela anaipeleka wapi kama siyo kuzitoroshea nje
 
Ni kweli azam anaogopa sana ushindani anatumia njia haramu anapozidiwa hii kesi yake na Azania inayoendelea Rwanda ni mfano mzuri

Hii ya MO sina uhakika nayo sana, ila ile ya Rwanda imenishangaza sana, jamaa nilikuwa namkubali sana lakini kwenda kusajili jina la mpinzani tena ukiwa hulitumii siyo fair.

Sijajua kesi inaendeleaje mpaka sasa.
 
Kama sio chuki binafsi basi unaongea usichokijua. MO amekua akiagiza sukari kutoka Brazil kwa kibali maalum wala habadilishi vifungashio.
 
Hii ya MO sina uhakika nayo sana, ila ile ya Rwanda imenishangaza sana, jamaa nilikuwa namkubali sana lakini kwenda kusajili jina la mpinzani tena ukiwa hulitumii siyo fair.

Sijajua kesi inaendeleaje mpaka sasa.
Nadhani hizo ni mbinu za kibiashara tu lkn tusubiri maamuzi ya mahakama ya huko.
 
Kesi yao Rwanda kuna uwezekano Bakhressa akashinda kwa sababu Azania alikua amejisajili kama Azania Tanzania sio East afrika, ila majaji wakitulia na kuzingatia hawa ni competitors tokea Tanzania inawezekana Azania wakarudishiwa haki ya jina lao.
Hii ya MO sina uhakika nayo sana, ila ile ya Rwanda imenishangaza sana, jamaa nilikuwa namkubali sana lakini kwenda kusajili jina la mpinzani tena ukiwa hulitumii siyo fair.

Sijajua kesi inaendeleaje mpaka sasa.
 
eti alikuwa akitumia KK sugar (ultra sweet) ambayo ina madhara kwa watumiaji
 
Kesi yao Rwanda kuna uwezekano Bakhressa akashinda kwa sababu Azania alikua amejisajili kama Azania Tanzania sio East afrika, ila majaji wakitulia na kuzingatia hawa ni competitors tokea Tanzania inawezekana Azania wakarudishiwa haki ya jina lao.
Ndiyo maana nimesema tusubiri maamuzi ya mahakama.

Sikatai swala lake la kushinda, am just looking at it on morally point of view.

Was it moral kwa Azam kusajili Azania akijua ni jina la competitor, na at the same time hana mpango wa kulitumia?
 
Nenda ukaone kisima kinachotumika kujaza maji ya maisha na masafi kule vingunguti.
 
Azam ni muoga anataka anataka Ku monopolize soko kwa njia haramu
Sikatai swala lake la kushinda, am just looking at it on morally point of view.

Was it moral kwa Azam kusajili Azania akijua ni jina la competitor, na at the same time hana mpango wa kulitumia?
 
Sasa mbona mamlaka ya dawa na chakula haijatangaza kama ni kweli?
hakuna aliyeuliza wala kulalamika, wameviondoa tu kimyakimya sokoni, hii ni rushwa kama rushwa nyingine ili asiharibu soko la bidhaa zake nyingine
 
Sikatai swala lake la kushinda, am just looking at it on morally point of view.

Was it moral kwa Azam kusajili Azania akijua ni jina la competitor, na at the same time hana mpango wa kulitumia?
Morally Azam anawezakua wrong lkn still akawa legally right na mahakama hufata kipengele cha legality zaidi kuliko morality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…