monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
acheni kudanganya humu jamani hivyo vinywaji havijafungiwa Bali ameishiwa sukari ya kutengenezea ndo ipo bandarini anasubiri kuitoa, na hili tatzo lilianza mwaka Jana mwishoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo ana kiwanda cha sukari? Mo ni mhuni tu kama wahuni wengine wa manzese..Kuna fununu kuwa sukari yao imefungiwa
Ni kweli azam anaogopa sana ushindani anatumia njia haramu anapozidiwa hii kesi yake na Azania inayoendelea Rwanda ni mfano mzuriAzam anacheza michezo ya kijinga sana...
Hata kule Rwanda kuna kesi inaendelea eti kina Azam wamesajili Azania ili mwenzake asilitumie kule.
Ni kweli azam anaogopa sana ushindani anatumia njia haramu anapozidiwa hii kesi yake na Azania inayoendelea Rwanda ni mfano mzuri
Kama sio chuki binafsi basi unaongea usichokijua. MO amekua akiagiza sukari kutoka Brazil kwa kibali maalum wala habadilishi vifungashio.Mo ana kiwanda cha sukari? Mo ni mhuni tu kama wahuni wengine wa manzese..
Huyu jamaa siku zake zinahesabika, alikuwa anakibali cha kuangiza sukari kutoka nje anaingiza nchini halafu anaifaulisha kwenye mifuko yenye nembo ya kampuni yake halafu anapiga hela
Azam kasha kuwa mjanja hela zake sasa hivi anazirejesha kwa jamii kwa kutoa ajira na kufungua viwanda huko pwani analima shamba la miwa laana, hadi 2020 anatengeneza humo humo sambani hospital na nyumba za kuishi wafanyakazi wake, zanzibar anajenga kijiji
Jiulize pamoja na mo kufanya biashara kimagumashi hyo hela anaipeleka wapi kama siyo kuzitoroshea nje
Nenda kwenye website yaoSasa mbona mamlaka ya dawa na chakula haijatangaza kama ni kweli?
Nadhani hizo ni mbinu za kibiashara tu lkn tusubiri maamuzi ya mahakama ya huko.Hii ya MO sina uhakika nayo sana, ila ile ya Rwanda imenishangaza sana, jamaa nilikuwa namkubali sana lakini kwenda kusajili jina la mpinzani tena ukiwa hulitumii siyo fair.
Sijajua kesi inaendeleaje mpaka sasa.
Nadhani hizo ni mbinu za kibiashara tu lkn tusubiri maamuzi ya mahakama ya huko.
Hii ya MO sina uhakika nayo sana, ila ile ya Rwanda imenishangaza sana, jamaa nilikuwa namkubali sana lakini kwenda kusajili jina la mpinzani tena ukiwa hulitumii siyo fair.
Sijajua kesi inaendeleaje mpaka sasa.
Ndiyo maana nimesema tusubiri maamuzi ya mahakama.Ni mbinu ndiyo, lakini ni mbinu chafu.
Kwa mtu aliyejipambanua vile alivyo kucheza hizo mbinu siyo fair.
eti alikuwa akitumia KK sugar (ultra sweet) ambayo ina madhara kwa watumiajiHivi karibuni kulikuwa na vinywaji vya MO mtaani ambavyo vilikuwa vinafanya vizuri sana sokoni kutokana na ujazo wake mkubwa wa ml 400 kwa kila chupa na kwa bei ile ile ya sh 500 kama vinywaji vingine vya backressa na soda
Lakini hivi karibuni nimeahtuka havionekani kabisa madukani na ukiwauliza kila mtu ana jibu lake , je vimefungiwa kwa kukosa ubora au tatizo lipo wapi?
Kama vina tatizo ni heri Tfda watoe taarifa na kama havina tatizo bali ni mambo mengine namshauri MO atupe taarifa sahihi wateja wake ili tujue hivi vinjwaji vinarudi lini sokoni
![]()
===========================
Kesi yao Rwanda kuna uwezekano Bakhressa akashinda kwa sababu Azania alikua amejisajili kama Azania Tanzania sio East afrika, ila majaji wakitulia na kuzingatia hawa ni competitors tokea Tanzania inawezekana Azania wakarudishiwa haki ya jina lao.
Ndiyo maana nimesema tusubiri maamuzi ya mahakama.
Nenda ukaone kisima kinachotumika kujaza maji ya maisha na masafi kule vingunguti.Mo ni mhuni, sijawahi kuona bidhaa ya huyu jamaa yenye ubora unaostahili kutumiwq na binadamu!
Bidhaa Zake nyingi zina ubora wa chini sana!
Hiki kinywaji Ilikuwa janga kubwa kwa wanawake, Ina sukari nyingi na hata km sio mtaalamu wa afya utajua tu kuwa haifai kutumika
Sikatai swala lake la kushinda, am just looking at it on morally point of view.
Was it moral kwa Azam kusajili Azania akijua ni jina la competitor, na at the same time hana mpango wa kulitumia?
hakuna aliyeuliza wala kulalamika, wameviondoa tu kimyakimya sokoni, hii ni rushwa kama rushwa nyingine ili asiharibu soko la bidhaa zake nyingineSasa mbona mamlaka ya dawa na chakula haijatangaza kama ni kweli?
Morally Azam anawezakua wrong lkn still akawa legally right na mahakama hufata kipengele cha legality zaidi kuliko moralitySikatai swala lake la kushinda, am just looking at it on morally point of view.
Was it moral kwa Azam kusajili Azania akijua ni jina la competitor, na at the same time hana mpango wa kulitumia?
Morally Azam anawezakua wrong lkn still akawa legally right na mahakama hufata kipengele cha legality zaidi kuliko morality