Kupotea sokoni kwa vinywaji vya MO mll 400 nini shida?

Mnalilia makemikali tu hayo...kunyweni maji safi, juisi halisi ya matunda na vyote vifafafavyo na hivyo
 
matunda yamejaa watu wanashindwa kunywa juice harisi wanakimbilia misumu hiyo. baadae sisi tutawasaidia tu wake zao wewe waache, sisi zetu juice za kukamua ,maziwa na madafu maji
Aisee hayo madude ni sumu kweli, bora unywe maji tu. Nikigusa soda na juisi za chupa labda nimewekewa kwenye hafla sina chaguo la kubadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…