kupoteza hamu ya kushiriki tendo baada ya kujifungua

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,332
wapendwa hili tatizo limenikumba,baada ya kujifungua nimekosa hamu ya kushiriki tendo mla ndo na hat nikishiriki ni mara chache sana nafurahia,nilijaribu kumuona profesa mgaya akaniambia kua si tatizo ila tu nimehamishia akili na mawazo yangu yote kwa mtoto ndio maana nimetokewa na hali hiyo,ni miezi sita sasa tangu nijifungue still the problem is growing day after day,hebu mwenye utaalamu na hii kitu anifafanulie maana inanikwaza kweli na inasababisha namkwaza mume wangu japo amejaribua sana kua muelewa
 
Miezi sita ni mingi sana. Kawaone wataalamu wa maswala hayo wakusaidie kabla halijaleta purukushani ndani ya mahusiano yenu.

asannte bank nitafanya hivo
 
Back
Top Bottom