Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
wapendwa hili tatizo limenikumba,baada ya kujifungua nimekosa hamu ya kushiriki tendo mla ndo na hat nikishiriki ni mara chache sana nafurahia,nilijaribu kumuona profesa mgaya akaniambia kua si tatizo ila tu nimehamishia akili na mawazo yangu yote kwa mtoto ndio maana nimetokewa na hali hiyo,ni miezi sita sasa tangu nijifungue still the problem is growing day after day,hebu mwenye utaalamu na hii kitu anifafanulie maana inanikwaza kweli na inasababisha namkwaza mume wangu japo amejaribua sana kua muelewa