Kwa ambao hayajawafika mwaweza comment vibaya ,hii hali wanawake wengi sana inawapata,hata mimi lakini nimejifanyia tathmin ,mume wangu yupo very rude ,yaani ni mtu wa kufoka sana na mwepesi wa hasira hivyo kipigo hata kwa kosa dogo atakupiga ,kwa familia ni baba bora sana ,ila kwa mke kafail unanitahidi kumtimizia na kumtii kama mke but una kuta ndiyo nature yake mpka mwenyewe anakili kuwa hata kazini wanamsema ni mkali sana anawezaje kuishi na mkewe ? Sasa come back wanawake akikutana na mwanume wa aina hii anaishi kwa kuvumilia ila upendo unaisha kwa mumewe,kwani mwanamume hana habari na mke,mimi hii hali naongea coz naiptia tangu nimeolewa sijawahi ambiwa neno nakupenda ,nimekumiss but huwa nakuta text za michepuko so huwa tunagombana sana na mr ,nikamwambia kuwa kumbe una uwezo wa kuaambia wengine nimekumiss ,mimi nikumbia au kutext unajibu ahsante but hujawahi niambia hata siku 1 ,hii hali haziwezi kupoteza hisia na mwezni wako tusijudge tu negative lazima vyanzo vipo ,but mimi totally imepelkea mpaka sipendi kabisa wanaume ,niliwahi mwambia mr kuwa natamani mwanangu asije olewa kwani naona atanyanyasika kwa ndoa ,kwa ujumla sijawahi ona raha ya ndoa nimejitahidi sana kwa maombi ,nimlete mr karibu but nature yake hawezi badilika