Kupoteza Hamu ya Ngono kwa Mume Wangu: Je, Mimi Nipo Peke Yangu?

Akili zawanawake eti hakuna baya kakufanyia

Lalamikolako lakutokukupelekea tango ndo ubaya wenyewe

Changamka,jifunike shuka mbu kisino kitaisha Kwa mng'ato..
 
Hadi kalalamika ,Jua pameziba

Pamerudi utoto ,msaada anahitaji msimtukane
 
Chepuka tu unafikiria mumeo angekuchoka angejiuliza mara mbili mbili kuhusu kutafta taste nyingine.
Maisha ni haya haya umekichoka chakula flani unabadilisha tu
Mkuu kwanini unatoa ushauri wa kuchepuka? Madhara ya kuchepuka ni makubwa zaidi natamani nikupe ushuhuda. Maana ukinogewa huko kutoka ni kwa neema ya Mungu tu. Naomba niishie hapa.
 
Badilisha mazingira,pia badirisha staili ya kitanda yaani kigeuze, badilisha mpangilio wa materi ndani ya nyumba mengine zaidi njoo Dm nyine akagambo akokushauri
 
Antena ipo kwel?kama huna antena hiyo kawaida lkn zaidi hiyo hali ni kawaida kwa kila ke na me muda mwingine inatokana na mapepo ya ngono ya kishakuingia tu hamu ya ngono huisha
 
Cho
Chonka iwe mawe!
 
Uislam ni mwema sana, hali hiyo ungekuwa katika Uislam ingekuwa ni muhali kukutokea.

Hapo ilitakiwa mumeo awe na mke au wake wengine, hamu isingekuishia daima.

Hamu inakuishia kwa uzinifu, ama wewe unazini nje ya ndoa ama yeye anazini nje ya ndoa.
 
Mazoea hayo ndo sababu...

Ukishamzoea mke/mume kila kitu unaona kawaida..

Hata kama anafanya tendo vizuri...
 
Umehukumu
 
Mwanaume unajitambulisha kama Mwanamke ili uwatapeli watu.
 
Chepuka tu unafikiria mumeo angekuchoka angejiuliza mara mbili mbili kuhusu kutafta taste nyingine.
Maisha ni haya haya umekichoka chakula flani unabadilisha tu
Unamdanganya mwenzako ili mfanane bila ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…