Kupoteza Hamu ya Ngono kwa Mume Wangu: Je, Mimi Nipo Peke Yangu?

Napenda kuwakumbusha wanaume wenzangu, dada yetu anataka maoni ya wanawake wenzake na sisi wanaume tuwe wapenzi watazamaji.
 
hakuna ujinga wala chochote ni hali huwa inatokea. Ndiyo maana watu wanaambiwa wabadilishe mandhari kama vile kwenda mahoteli weekends au kufanya shughuli nyingine tafauti na mzunguko wa kawaida wa nyumbani.
 
Lete papa hiyo ukunwe
 
Naomba nitafute tafadhali tufanye yetu na tujadiliane zaidi
 
Wewe utakuwa Bonge, Jeusi, Maziwa Makubwa kama watermelon na tumbo limesogea Sana ha ha ha wanawake wa Aina hii ndio wenye hayo mambo haswa
Maneno ya namna hii, yanaudhi lakini pia yanadhalilisha utu wa mtu. Sijui umri wako lakini hii ni bullying, unamsema mtu namna hii as if unamfahamu.
 
Kuna shida mahala labda mmeo hana shoo nzuri anazo mbovu mbovu, anawahi kumaliza, hakuandai vyema, au wewe ni mkavu sana hebu jaribu kutizama hapa
Kama vyote hivyo hakuna tatizo basi mna tatizo la kiroho zaidi spiritual husband or spiritual wife kwa mmeo haiwezekani hii hali miaka yote hiyo usipatwe na hamu.
 
Vipi kama anapitia/anakaribia menopause, mtu akishafika 40+ hayo mambo yanatokea regardless ya situation aliyonayo kwa mwenzake.
 
Maneno ya namna hii, yanaudhi lakini pia yanadhalilisha utu wa mtu. Sijui umri wako lakini hii ni bullying, unamsema mtu namna hii as if unamfahamu.

What if ni mweupe na mwembamba? That's why nimesema ITAKUWA

hata ww ukiambiwa mtu flan anakilo 150 moja Kwa moja utathink huyo mtu ni linene Sana coz watu wa Nene ndio wanakuwa na kilo nyingi,
 
Dimminishing Marginal Utility,,
 
Vipi kama anapitia/anakaribia menopause, mtu akishafika 40+ hayo mambo yanatokea regardless ya situation aliyonayo kwa mwenzake.
Lakini kasema anatamani kuchepuka ila anamuonea huruma Mume wake kwa kua tu ni baba bora kwa Watoto wake!!
 
Hi
 
Shooooga,utakuwa una jini mahaba wewe,angekuwa amekusaliti umejua nungesema kisasi na uchungu vinakutesa lkn bila hayo shooooga umerogwaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…