Kupoteza Hamu ya Ngono kwa Mume Wangu: Je, Mimi Nipo Peke Yangu?

Najibu kama mwanaume; mumeo hana swaga, na hii hutokea pale mnapozoeana sana, na kuona vitu vingine havina umuhimu.

Nb: mwambie mr aku-treat wewe kama muhuni fulani, akuchape chape hizo assets ulizonazo; naimani utafurahia uhusiano ulionao.​
Ngumu sana kwa wanaume wenzetu waliosoma seminary,yaani katika kunyanduana full heshima! Ohh mkao huu mchungaji wetu kakataza , kumbe ndiyo anapotea, hawa viumbe wanahitaji fujo na utundu kila eneo, kila siku unakuja na ubunifu mpya, sio kukalili tu kuitafuna mbususu ni kitandani pekee, popote unamchapa nao faragha tu iwepo.
 
Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.
Ila huu uandishi huu. Sidhani! Anyway wanawake hawajui wanachotaka siku zote
 
Huo ndio Ukweli mchungu watu tusiotaka kuusikia..
Sasa wanawake wajiongeze ikibidi watumie hata mafuta ya kuboost nyege.

Ki ukweli kabisa mwanaume kama hana tatizo lolote la kiafya miaka 40 - 50 hapa ndio umri ambao nyege zinapamba moto, sasa wewe kila ukiguswa umechoka niache.

Aisee hapo mwanaume asipopiga show za nje basi ujuwe ana financial harassment hana pesa ya kuweza kuhonga warembo.

Maana kimsingi mapenzi unatakiwa uyapate kwa mke wako, ila ukitoka nje hakuna mapenzi ni biashara ya ngono ndio inafanyika hapo pesa ni kipengele muhimu.

Haijarishi mwanamke hajiuzi lakini hatowi bure pia, pesa ni muhimu, nje hakuna vya bure.
 
Hili tatizo la kusema nimechoka sijui linatokana na Nini,,,nadhani malumbano ya Mara Kwa Mara yanachangia Sana kufifisha hisia baina ya wenza,Kuna haja ya kuangalia afya ya ndoa kwenye maelewani ya kila siku maana hayo ndio yataleta mahusiano Bora kwenye sex.

Kuhusu wanawake wa nje kupenda pesa,hapo ndio mnaposahau kwamba hata wake za ndani ni wanawake pia,,,inatakiwa unamuhonga pia mke wako uone penzi litavyokuwa la moto,Sio mkishapanga bajeti za matofali na maharage inakuwa imeisha hiyo,hapana mpe hela ya kusukia,mnunulie perfumes,
Kuna wanandoa wanalalamika Sana hapa mume kujisahau,
 
Wewe sio mke bali takataka.
Hukumpenda mmeo kwa dhati bali ulimtamani na kipo kitu kulichofanya ukajikuta mmekuwa mme na mke. Sasa hicho kitu huenda hakipo ndio maaana unamuona kama katuni.
 
Nyie kina mama wenye ndoa zenu endeleeni kuona waume zenu kama kaka zenu na sisi tunawachukulia waume zenu kama waume zetu,

tunawaahidi kuwahudumia kwa kiwango cha juu bila kuchoka watapewa yote mpaka mwisho kwa hisia kali na upendo unaomiminika uku tukiwa tuna smile muda wote

Mwisho sasa hisia zikirudi tena na kuanza kuwaona waume zenu si kaka zenu ila ni wapenzi wenu tutawarudishia waume zenu bila kinyogo ila msivurugwe baada ya kusikia tumejengewa bad enough tuna watoto wanaofanana na watoto wenu

[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ni hali ya kawaida tu hiyo mama, wala usipate pressure.
 
Mateso yako unayarithisha na kwa mtoto wako,unataka asiolewe kisa wewe una nyanyasika na mumeo vipi wanaume wote ni wabaya akiwemo baba yako futa hayo maneno uliyomtamkia mwanao kwani maneno huumba.
 
Nyuzi za hivi....utadhani wanaume wote ni waseminari [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kmnn zenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa wanajipa moyo kuwa wao huwa hawachokwi, ni wao tu huwachoka wenzao.
 


"mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana"

Haya sidhani kama ni relevant kwa andiko lako, ni kama unataka attract watu kwako sijui......
 
Katesti kinu sehemu nyingine uone kama kinariakti....
 
Mnatufungua macho aisee.... kwa hiyo mnatufhukuliaga mida fulani kama kaka zenu tu na seks ni bora liende tu...!😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…