ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Na ndio maana hata ushindi wao lazima uwawekee ?????!!??!!!!????Hili suala linaongelewa tu kama utani utani hivi ila ukijaribu kuona uhalisia unaweza kubaini kwamba kuna uwezekano pakawa na ukweli. Nimekuwa nikiangalia uchezaji Wa wapinzani Wa Simba kipindi cha pili hasa kwenye zile mechi ngumu kwa Simba Mara nyingi wapinzani huoekana wamechoka sana na wakati huo Simba wanakuwa wana nguvu sana. Tukitazma program za mazoezi za Simba hazina cha ajabu cha kuwafanya wawe ni timu ya kuongeza nguvu Na kumaliza dakika 90 kwa kishindo kuliko kipindi cha kwanza. Kuna namna!
Ushauri wangu hili suala lisifumbiwe macho Bali lichunguzwe kweli kweli mana linaonyesha kuwa na ukweli ndani yake!We mwana utopolo ushauri wako ni nini..
Sio mjinga naelewa....Wewe ni mjinga
Simba haijawai kushinda ugenini?Sio mjinga naelewa....
Kauli mbiu yenu ya" Kwa mkapa hatoki mtu" ina nakshi zote za ushirikina
Mnategemea nini pale kwa mkapa?mbona kwingine mnakua hamna uhakika wa kushinda?
Acheni uchawi chezeni mpira
Sasa na nyie si mpulizie ili muwe na hizo nguvu?Hili suala linaongelewa tu kama utani utani hivi ila ukijaribu kuona uhalisia unaweza kubaini kwamba kuna uwezekano pakawa na ukweli. Nimekuwa nikiangalia uchezaji Wa wapinzani Wa Simba kipindi cha pili hasa kwenye zile mechi ngumu kwa Simba Mara nyingi wapinzani huoekana wamechoka sana na wakati huo Simba wanakuwa wana nguvu sana. Tukitazma program za mazoezi za Simba hazina cha ajabu cha kuwafanya wawe ni timu ya kuongeza nguvu Na kumaliza dakika 90 kwa kishindo kuliko kipindi cha kwanza. Kuna namna!
Ina maana Dodoma jiji kamwagiwa dawa kwao na kwa mkapa ndio mana kafungwa na mechi zingne alizofungwa tusemejeKwahiyo tokea hiyo 2018 ndio mliacha tabia zenu?
Dodoma jiji walichowalalamikia kimetokea wiki hii may 2021
Umemuuliza swali la maana huyo ngumbaruIna maana Dodoma jiji kamwagiwa dawa kwao na kwa mkapa ndio mana kafungwa na mechi zingne alizofungwa tusemeje
Na leo Namungo wa epuliziwa dawa vyumbani haiwezekani washindwe kulinda goal lao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbe ndiyo maana akiongea anapenda kubinua binua midomo.Anaeleweka anagawa sehemu za makalio