Kupulizwa kwa dawa kwenye vyumba vya kupumzikia wachezaji ni dawa gani hizo?

Hili suala linaongelewa tu kama utani utani hivi ila ukijaribu kuona uhalisia unaweza kubaini kwamba kuna uwezekano pakawa na ukweli. Nimekuwa nikiangalia uchezaji Wa wapinzani Wa Simba kipindi cha pili hasa kwenye zile mechi ngumu kwa Simba Mara nyingi wapinzani huoekana wamechoka sana na wakati huo Simba wanakuwa wana nguvu sana. Tukitazma program za mazoezi za Simba hazina cha ajabu cha kuwafanya wawe ni timu ya kuongeza nguvu Na kumaliza dakika 90 kwa kishindo kuliko kipindi cha kwanza. Kuna namna!
Na ndio maana hata ushindi wao lazima uwawekee ?????!!??!!!!????
 
Wewe ni mjinga
Sio mjinga naelewa....
Kauli mbiu yenu ya" Kwa mkapa hatoki mtu" ina nakshi zote za ushirikina
Mnategemea nini pale kwa mkapa?mbona kwingine mnakua hamna uhakika wa kushinda?
Acheni uchawi chezeni mpira
 
Hivi uwanja wa mkapa ni wa simba kwani? Kama ndiyo basi hizo tuhuma zako labda ni kweli lakini kama sio basi utakuwa wewe una kaupungufu fulani kwenye kufikiri
 
Sio mjinga naelewa....
Kauli mbiu yenu ya" Kwa mkapa hatoki mtu" ina nakshi zote za ushirikina
Mnategemea nini pale kwa mkapa?mbona kwingine mnakua hamna uhakika wa kushinda?
Acheni uchawi chezeni mpira
Simba haijawai kushinda ugenini?
 
Hili suala linaongelewa tu kama utani utani hivi ila ukijaribu kuona uhalisia unaweza kubaini kwamba kuna uwezekano pakawa na ukweli. Nimekuwa nikiangalia uchezaji Wa wapinzani Wa Simba kipindi cha pili hasa kwenye zile mechi ngumu kwa Simba Mara nyingi wapinzani huoekana wamechoka sana na wakati huo Simba wanakuwa wana nguvu sana. Tukitazma program za mazoezi za Simba hazina cha ajabu cha kuwafanya wawe ni timu ya kuongeza nguvu Na kumaliza dakika 90 kwa kishindo kuliko kipindi cha kwanza. Kuna namna!
Sasa na nyie si mpulizie ili muwe na hizo nguvu?
 
Wakanushe vipi taarifa za kweli? Hata kamisaa alikiri kuwa Simba imepulizia dawa.
Kwa kuwa TFF ni Simba hata hili litapita.
 
Back
Top Bottom