Kupulizwa kwa dawa kwenye vyumba vya kupumzikia wachezaji ni dawa gani hizo?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Nimeshangazwa na uongozi wa timu ya Simba kunyamazia suala la wao kushutumiwa kupulizia dawa kwenye chumba walichopangiwa Dodoma FC hapo jana.Hii ni ishara ya dharau ya wazi kwa wachezaji wa Simba,kwamba hawawezi kushinda bila kutumia "makando kando" kama msemaji wa yanga anavyopenda kusema.

Kutokana na shutuma hizo kujirudia rudia,nimeanza kuwa na wasi wasi kuwa,huu ni mpango ulioratibiwa vizuri na upande wa pili.Wamewekeza vilivyo kwenye propaganda ya soka kiasi cha kuwaaminisha wapenzi wao kuwa,wao ni bora sana kuliko timu yoyote hapa nchini.Wameweza kuwatumia mamluki wao walio kila sehemu.Kuanzia waandishi wa habari,walinzi wa uwanja,na waajiriwa kwenye timu nyingine.

Nauliza tu hawa madaktari feki wanasema kwenye vyumba kuna dawa,ni dawa aina gani?
Maana wasitudanganye kuwa wao wanajua zipo na kumbe ni utopolo tu.

Au kuna dawa za kiasili ambazo hazijulikani kisayansi?Maana dawa zinazojulikana kisayansi ukiisema tu utakosa ushahidi kwa kuwa ni rahisi kuthibitisha.

Mi nawaomba Simba,wachukue hatua kuanzia waandishi walioamua kusambaza taarifa hizi kishabiki bila ushahidi,na uongozi wa uwanja utueleze ni kwa nini wanaruhusu haya mambo kuwa sehemu ya michezo.Kwani nina uhakika hawachafui brand ya Simba tu,Bali hata kuharibu taswira ya nchi.
 
Nimeongea mara nyingi hapa kuwa Simba ni watu wa mazingaombwe lakini wenyewe wamekua wakikanusha vikali lakini huwa ninawaambia siku zote kuwa ipo siku arobaini zao zitafika na huenda wakafungiwa na Caf au hata Fifa

Dodoma jiji si timu ya kwanza kuwalalamikia Simba kwa miezi hii ya karibuni As Vita nao wamelalamika sana tu kuhusu tabia hii ya simba

Game yao ya South na Kaizer,simba walijaribu kuingia wakacheza kama wao yaani bila makando kando matokeo yakawa vile goli nne
Haingii akilini mechi ya marudiano baada ya wiki tu eti kaizer washindwe hata kukimbia?basi hata kupokea pasi?

Simba siku zao zinahesabika simply kwakua hawataki kuaibika,hawataki kutumia uwezo wao kama wao,na tabia hii hawawezi iacha alisema mwalimu nyerere ukizoea kula nyama ya mtu basi hautaacha
 
Kulalamika ni mbinu mkakati wa yanga ambazo huwa anawapatia timu pinzani wa Simba.Kama utakumbuka hata Kaizer chiefs walilalamikia waamuzi kabla ya mechi.Hizo zote ni mbinu za yanga.AS vita alifungwa kwao kwa nini aje kulalamikia hapa?

Unaposema Simba haishindi kwa uwezo wa wachezaji mi nakuona kama kituko sana!Yaani wachezaji kama Luis,Mohammed Hussein,Morrison,Chama,Kapombe,Onyango,Manila,na wengine wengi unawaona hawana uwezo wa kucheza?Asee ukiwa utopolo akili zinakuwa za kinyani nyani tu
Nimeongea mara nyingi hapa kuwa Simba ni watu wa mazingaombwe lakini wenyewe wamekua wakikanusha vikali lakini huwa ninawaambia siku zote kuwa ipo siku arobaini zao zitafika na huenda wakafungiwa na Caf au hata Fifa

Nalmungo si timu ya kwanza kuwalalamikia Simba kwa miezi hii ya karibuni As Vita nao wamelalamika sana tu

Game yao ya South na Kaizer walijaribu kuingia kama wao yaani bila makando kando matojeo yakawa vile
Haingii akilini mechi ya marudiano baada ya wiki tu eti kaizer washindwe hata kukimbia?basi hata kupokea pasi?

Simba siku zao zinahesabika simply kwakua hawataki kuaibika,hawataki kutumia uwezo wao kama wao,na tabia hii hawawezi iacha alisema mwalimu nyerere ukizoea kuls nyama ya mtu basi hautaacha
 
Nimeshangazwa na uongozi wa timu ya Simba kunyamazia suala la wao kushutumiwa kupulizia dawa kwenye chumba walichopangiwa Dodoma FC hapo jana.Hii ni ishara ya dharau ya wazi kwa wachezaji wa Simba,kwamba hawawezi kushinda bila kutumia "makando kando" kama msemaji wa yanga anavyopenda kusema.

Kutokana na shutuma hizo kujirudia rudia,nimeanza kuwa na wasi wasi kuwa,huu ni mpango ulioratibiwa vizuri na upande wa pili.Wamewekeza vilivyo kwenye propaganda ya soka kiasi cha kuwaaminisha wapenzi wao kuwa,wao ni bora sana kuliko timu yoyote hapa nchini.Wameweza kuwatumia mamluki wao walio kila sehemu.Kuanzia waandishi wa habari,walinzi wa uwanja,na waajiriwa kwenye timu nyingine.

Nauliza tu hawa madaktari feki wanasema kwenye vyumba kuna dawa,ni dawa aina gani?
Maana wasitudanganye kuwa wao wanajua zipo na kumbe ni utopolo tu.

Au kuna dawa za kiasili ambazo hazijulikani kisayansi?Maana dawa zinazojulikana kisayansi ukiisema tu utakosa ushahidi kwa kuwa ni rahisi kuthibitisha.

Mi nawaomba Simba,wachukue hatua kuanzia waandishi walioamua kusambaza taarifa hizi kishabiki bila ushahidi,na uongozi wa uwanja utueleze ni kwa nini wanaruhusu haya mambo kuwa sehemu ya michezo.Kwani nina uhakika hawachafui brand ya Simba tu,Bali hata kuharibu taswira ya nchi.
Hii ni kweli kabisa,simba wanapuliza sana dawa kwenye vyumba vya kuvalia timu pinzani
 
Nimeongea mara nyingi hapa kuwa Simba ni watu wa mazingaombwe lakini wenyewe wamekua wakikanusha vikali lakini huwa ninawaambia siku zote kuwa ipo siku arobaini zao zitafika na huenda wakafungiwa na Caf au hata Fifa

Nalmungo si timu ya kwanza kuwalalamikia Simba kwa miezi hii ya karibuni As Vita nao wamelalamika sana tu

Game yao ya South na Kaizer walijaribu kuingia kama wao yaani bila makando kando matojeo yakawa vile
Haingii akilini mechi ya marudiano baada ya wiki tu eti kaizer washindwe hata kukimbia?basi hata kupokea pasi?

Simba siku zao zinahesabika simply kwakua hawataki kuaibika,hawataki kutumia uwezo wao kama wao,na tabia hii hawawezi iacha alisema mwalimu nyerere ukizoea kuls nyama ya mtu basi hautaacha
Utopolo unateseka ukiwa kijiji ganj[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii ni kweli kabisa,simba wanapuliza sana dawa kwenye vyumba vya kuvalia timu pinzani
Kwa nini hawakamatwi, hivi unajua ni mda gani vyumba hukabidhiwa kwa team pale taifa. Utopolo wekezeni kwenye maneno maneno mwisho wa siku mnamaliza ligi na kombe la mapinduzi tuu.
 
Hata kama simba wanaweka dawa, ndio wawawekee dawa Dodoma jiji kweli? Haya wamekwepa mtego wa kuwekewa dawa, wangeshinda mechi sasa
 
Hivi wewe unabisha unaikunbuka ile video iliyosambaaga ikiwaonyesha ya watu kama watano hivi akiwemo haji tena kavaa jezi yenu wakionekana wanamwagia vitu vyumba vya kubadilishia nguo,hujawahi iona mitandaoni?
 
Wanachoogopa simba ni aibu sasa unashangaa simba kufanya hivyo,si hawa hawa hawa simba walifungwa na jkt ruvu?si hawa hawa simba walitoka chupuchupu na wazee wa gwaride? Si ni simba nyie mliyemfunga kwa taabu mwadui?
 
Nimeongea mara nyingi hapa kuwa Simba ni watu wa mazingaombwe lakini wenyewe wamekua wakikanusha vikali lakini huwa ninawaambia siku zote kuwa ipo siku arobaini zao zitafika na huenda wakafungiwa na Caf au hata Fifa

Dodoma jiji si timu ya kwanza kuwalalamikia Simba kwa miezi hii ya karibuni As Vita nao wamelalamika sana tu kuhusu tabia hii ya simba

Game yao ya South na Kaizer,simba walijaribu kuingia wakacheza kama wao yaani bila makando kando matokeo yakawa vile goli nne
Haingii akilini mechi ya marudiano baada ya wiki tu eti kaizer washindwe hata kukimbia?basi hata kupokea pasi?

Simba siku zao zinahesabika simply kwakua hawataki kuaibika,hawataki kutumia uwezo wao kama wao,na tabia hii hawawezi iacha alisema mwalimu nyerere ukizoea kula nyama ya mtu basi hautaacha
Wewe ni Mpumbavu
 
Wewe ni Mpumbavu

Ile video ni Swaziland mwaka 2018 November Simba wameenda kucheza na Mbabane

Ujinga unakupunguzia uwezo wa kuona mazuri. Jitahidi kupunguza ujinga uliomo Kichwani mwako

Hivi wewe unabisha unaikunbuka ile video iliyosambaaga ikiwaonyesha ya watu kama watano hivi akiwemo haji tena kavaa jezi yenu wakionekana wanamwagia vitu vyumba vya kubadilishia nguo,hujawahi iona mitandaoni?
 
Hili suala linaongelewa tu kama utani utani hivi ila ukijaribu kuona uhalisia unaweza kubaini kwamba kuna uwezekano pakawa na ukweli. Nimekuwa nikiangalia uchezaji Wa wapinzani Wa Simba kipindi cha pili hasa kwenye zile mechi ngumu kwa Simba Mara nyingi wapinzani huoekana wamechoka sana na wakati huo Simba wanakuwa wana nguvu sana. Tukitazma program za mazoezi za Simba hazina cha ajabu cha kuwafanya wawe ni timu ya kuongeza nguvu Na kumaliza dakika 90 kwa kishindo kuliko kipindi cha kwanza. Kuna namna!
 
We mwana utopolo ushauri wako ni nini..
 
Utopolo bado mna safari ndefu sana.
Hili suala linaongelewa tu kama utani utani hivi ila ukijaribu kuona uhalisia unaweza kubaini kwamba kuna uwezekano pakawa na ukweli. Nimekuwa nikiangalia uchezaji Wa wapinzani Wa Simba kipindi cha pili hasa kwenye zile mechi ngumu kwa Simba Mara nyingi wapinzani huoekana wamechoka sana na wakati huo Simba wanakuwa wana nguvu sana. Tukitazma program za mazoezi za Simba hazina cha ajabu cha kuwafanya wawe ni timu ya kuongeza nguvu Na kumaliza dakika 90 kwa kishindo kuliko kipindi cha kwanza. Kuna namna!
 
Wewe ni Mpumbavu

Ile video ni Swaziland mwaka 2018 November Simba wameenda kucheza na Mbabane

Ujinga unakupunguzia uwezo wa kuona mazuri. Jitahidi kupunguza ujinga uliomo Kichwani mwako
Kwahiyo tokea hiyo 2018 ndio mliacha tabia zenu?
Dodoma jiji walichowalalamikia kimetokea wiki hii may 2021
 
Back
Top Bottom