Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Pole Ora, unachokikataa wengine wanakitamani
sent from my Tecno W3
sent from my Tecno W3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siblees ?Homone imbalance naweza kubali maana hata siku zangu haziko sawa kabisa. siblees vizuri vinatoka vitone vitone.
sasa ina maana homone zikikaa vzuri yatarudi kuwa kawaida yanywee kidogo au
Sent using Jamii Forums mobile app
sidhani kwa jinsi yanavouma wakati wote hiviPole Ora, unachokikataa wengine wanakitamani
sent from my Tecno W3
biashara tena[emoji29] [emoji15]Nayapenda sana matiti makubwa kama vipi njoo pm tufanye kabiashara my dear!
Ndiyo,hapa ni mjini changamka shosti wewe!!
Tafta msaada w kunyonywa tu .au nenda hospital lbda unakansa y mattihapana hayakui yameshakua ila yanajaa sanaa ..
mpaka yananiletea kitu kama presha nikifanya kazi zangu nahema kama nataka kufa, yanauma sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
23Tuanzie hapa kwanza una umri gani? Je ni matiti yoye yanajaa? na je kuna majimaji yoyote yanayotoka kwenye chuchu bila wewe kuyakamua kama ni ndio waweza niambia ni ya rangi gani? na ukijaribu kuyatomasa hayo matiti yanaonekana ni laini kupita kiasi?
Na je huwa yanajaa kwa sana kabla hujaingia kwenye menstrual period na pia hupungua ukubwa na maumivu kiasi baada ya kuingia kwa menstrual period?
Na mwisho kuna tunundunundu twotwote tulitoota katika eneo lolote la maziwa yako?
Ukinijibu hayo majibu yangu yangu tunaweza endelea ku discuss kidogo?
Dawa ipo sijui uko wapi mimi niko Mbeya tuwasiliane23
yote yanajaa
hapana hayatoi maji wala chochote
yana ulaini wa kawaida
hayatoi vinundu
yanajaaga zaidi nikijaribia period, nikiingia hayapungui sana yani yanapungua kidogo uzito
Pole dada Ora .. Iko hivi kama inatokea kila unapoingia period hiyo ni pre menstrual syndrome(PMS) na mojawapo ya dalili zake ndo hizo zinazokutokea "mastalgia" au "cyclic mastalgia".. kama ni yote mawili na hakuna majimaji yoyote yanayotoka usiwe na wasiwasi sana itakua sio cancer ila ni hormonal issues na inakutoea mara kwa mara ukikaribia period kwa sababu wakati huo progesterone inakuwa katika peak level hivyo kusababisha growth ya duct system ndo maana hanaongezeka ukubwa... ila kwa vile inakuletea discomfort nakushauri fika hospitali kubwa ukachek "hormone profile" ili kama kuna imbalance wajaribu kucontrol, pia itakupa mwanga kuhusu hayo matatizo yako ya hedhi ukiyoyasema...23
yote yanajaa
hapana hayatoi maji wala chochote
yana ulaini wa kawaida
hayatoi vinundu
yanajaaga zaidi nikijaribia period, nikiingia hayapungui sana yani yanapungua kidogo uzito
hahahaha ndo mana napapenda humu..... aeke picha hahahaha