Kupunguza matiti

Kupunguza matiti

Nayapenda sana matiti makubwa kama vipi njoo pm tufanye kabiashara my dear!
 
Tuanzie hapa kwanza una umri gani? Je ni matiti yoye yanajaa? na je kuna majimaji yoyote yanayotoka kwenye chuchu bila wewe kuyakamua kama ni ndio waweza niambia ni ya rangi gani? na ukijaribu kuyatomasa hayo matiti yanaonekana ni laini kupita kiasi?

Na je huwa yanajaa kwa sana kabla hujaingia kwenye menstrual period na pia hupungua ukubwa na maumivu kiasi baada ya kuingia kwa menstrual period?

Na mwisho kuna tunundunundu twotwote tulitoota katika eneo lolote la maziwa yako?

Ukinijibu hayo majibu yangu yangu tunaweza endelea ku discuss kidogo?
 
23
yote yanajaa
hapana hayatoi maji wala chochote
yana ulaini wa kawaida
hayatoi vinundu
yanajaaga zaidi nikijaribia period, nikiingia hayapungui sana yani yanapungua kidogo uzito
 
23
yote yanajaa
hapana hayatoi maji wala chochote
yana ulaini wa kawaida
hayatoi vinundu
yanajaaga zaidi nikijaribia period, nikiingia hayapungui sana yani yanapungua kidogo uzito
Dawa ipo sijui uko wapi mimi niko Mbeya tuwasiliane
 
Hazina iyo, wanaume wakitoka kweny chura watakuja matiti,.. Consider it an asset
 
23
yote yanajaa
hapana hayatoi maji wala chochote
yana ulaini wa kawaida
hayatoi vinundu
yanajaaga zaidi nikijaribia period, nikiingia hayapungui sana yani yanapungua kidogo uzito
Pole dada Ora .. Iko hivi kama inatokea kila unapoingia period hiyo ni pre menstrual syndrome(PMS) na mojawapo ya dalili zake ndo hizo zinazokutokea "mastalgia" au "cyclic mastalgia".. kama ni yote mawili na hakuna majimaji yoyote yanayotoka usiwe na wasiwasi sana itakua sio cancer ila ni hormonal issues na inakutoea mara kwa mara ukikaribia period kwa sababu wakati huo progesterone inakuwa katika peak level hivyo kusababisha growth ya duct system ndo maana hanaongezeka ukubwa... ila kwa vile inakuletea discomfort nakushauri fika hospitali kubwa ukachek "hormone profile" ili kama kuna imbalance wajaribu kucontrol, pia itakupa mwanga kuhusu hayo matatizo yako ya hedhi ukiyoyasema...
Swali jingine, unatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango ?

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom