Pole dada Ora .. Iko hivi kama inatokea kila unapoingia period hiyo ni pre menstrual syndrome(PMS) na mojawapo ya dalili zake ndo hizo zinazokutokea "mastalgia" au "cyclic mastalgia".. kama ni yote mawili na hakuna majimaji yoyote yanayotoka usiwe na wasiwasi sana itakua sio cancer ila ni hormonal issues na inakutoea mara kwa mara ukikaribia period kwa sababu wakati huo progesterone inakuwa katika peak level hivyo kusababisha growth ya duct system ndo maana hanaongezeka ukubwa... ila kwa vile inakuletea discomfort nakushauri fika hospitali kubwa ukachek "hormone profile" ili kama kuna imbalance wajaribu kucontrol, pia itakupa mwanga kuhusu hayo matatizo yako ya hedhi ukiyoyasema...
Swali jingine, unatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango ?
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app