Kupunguza matiti

Kupunguza matiti

Pole dada Ora .. Iko hivi kama inatokea kila unapoingia period hiyo ni pre menstrual syndrome(PMS) na mojawapo ya dalili zake ndo hizo zinazokutokea "mastalgia" au "cyclic mastalgia".. kama ni yote mawili na hakuna majimaji yoyote yanayotoka usiwe na wasiwasi sana itakua sio cancer ila ni hormonal issues na inakutoea mara kwa mara ukikaribia period kwa sababu wakati huo progesterone inakuwa katika peak level hivyo kusababisha growth ya duct system ndo maana hanaongezeka ukubwa... ila kwa vile inakuletea discomfort nakushauri fika hospitali kubwa ukachek "hormone profile" ili kama kuna imbalance wajaribu kucontrol, pia itakupa mwanga kuhusu hayo matatizo yako ya hedhi ukiyoyasema...
Swali jingine, unatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango ?

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
hapana situmii
 
Sorry mkuu,matiti yanayotoa majimaji ni moja ya dalili ya kansa??nina shida ya titi moja la upande wa kushoto kwa ndani ni km msuli sijui ni mshipa umevimba nilikwenda hsplt dokta akanicheka nikapewa flucomox kwa maana kwamba inawezekana ni bacteria,nimetumia bt ile hali imenywea kias ila sasa titi limekua laini km sponchi yan mpk nachoka natafuta nafasi nipate kwenda MNH maana naogopa isije kuwa cancer
 
Kama yanatoka yenyewe bila kukamuliwa inabidi ukafanye uchunguzi zaidi.. vipi harufu yake hayo majimaji ?na yana rangi gani ?

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Kama yanatoka yenyewe bila kukamuliwa inabidi ukafanye uchunguzi zaidi.. vipi harufu yake hayo majimaji ?na yana rangi gani ?

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app

No mkuu hayatoki ht kwakukamuliwa ila ni hiyo hali ya uvimbe na kubonyea tofauti na lingne
 
Back
Top Bottom