Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana hayakui yameshakua ila yanajaa sanaa ..kama matiti bado yanakuwa wewe bado ni kinda. Mwachie Mungu afanye kazi yake ya uumbaji.
asanteNi vizuri ungeenda kwanza hospital wapime labda kuna tatizo la kiafya. Sijawahi ona mazoezi ya kupunguza matiti zaidi ya oparesheni.
Uzito wako ukoje, umeongezeka hivi karibuni?hapana hayakui yameshakua ila yanajaa sanaa ..
mpaka yananiletea kitu kama presha nikifanya kazi zangu nahema kama nataka kufa, yanauma sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio yanazidiUmejaribu kumpa mtu ayanyonye vizuri?
Nilisoma mahali kuwa mwanamke kunyonywa huko kuna advantages.
Shemeji mwambie awe anayanyonya inaonekana una uzalishaji mkubwa wa maziwa
Sent using Jamii Forums mobile app
hospitali ganiKama kweli una hlo tatzo nenda tu hospitali nzuri utapta tu msaada.
Philips X2560
Yakikua huwa yanauma? Hapo kwenye kuuma nadhani ndo kwenye tatizokama matiti bado yanakuwa wewe bado ni kinda. Mwachie Mungu afanye kazi yake ya uumbaji.
ndio kilo moja.Uzito wako ukoje, umeongezeka hivi karibuni?
kuna dawa unazotumia? Kama si dawa basi una stress za muda mrefu zilizosababisha hormone imbalances.
Homone imbalance naweza kubali maana hata siku zangu haziko sawa kabisa. siblees vizuri vinatoka vitone vitone.kuna dawa unazotumia? Kama si dawa basi una stress za muda mrefu zilizosababisha hormone imbalances.
Muone daktari lakini kawaida mwili wa binadamu unakuwa katika state of equilibrium yaani kila kitu kinajibalance, sasa kukiwa na tatizo kama mawazo, ubongo unatoa order hormones zizalishwe zaidi au zisimamishwe ndiyo unaona hitilafu hizo. Dr. anaweza kukupa hormone pills zitakazoweka mambo sawa.Homone imbalance naweza kubali maana hata siku zangu haziko sawa kabisa. siblees vizuri vinatoka vitone vitone.
sasa ina maana homone zikikaa vzuri yatarudi kuwa kawaida yanywee kidogo au
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna dawa unazotumia? Kama si dawa basi una stress za muda mrefu zilizosababisha hormone imbalances.
Homone imbalance naweza kubali maana hata siku zangu haziko sawa kabisa. siblees vizuri vinatoka vitone vitone.
sasa ina maana homone zikikaa vzuri yatarudi kuwa kawaida yanywee kidogo au
Sent using Jamii Forums mobile app