Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Ramani za miji kwa maeneo yaliyopimwa ni public document.
Migogoro mingi ya ardhi inakuwepo kutokana na double allocation. ( Ardhi moja kuuziwa kwa watu wawili).
Itungwe sheria itayopelekea ramani za maeneo yaliyopimwa na ambayo bado kuwa online na kuwa access upon payment of a certain fee.
Iwe sheria kwamba kila transaction itayofanyika iwe updated online within a specific time frame after a transaction has been made.
Hayo yasipofanyika kuwe na penalties kwa defaulters.
CGT ipunguzwe kidogo toka 10% to 6 PC, maana hii inafanya watu wengi wakwepe kusajili mauzo ya ardhi.
Tukifanya hivyo walau tutapunguza migogoro ya Ardhi.