falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Wakuu,
Kwa watazamaji wa DSTV, watakubaliana nami kuwa kuna wakati walikuwa wakirusha vipindi vinavyoonyesha jinsi surgery za kupunguza unene zinavyofanyika. Nilipata tetesi hata Mustafa Hassanali ule mwili wake kaupunguza kwa njia hii.
Niliwahi kuona madaktari wanakuchora maduara kuzunguka maeneo yenye mafuta mwilini kwako kisha wanatumia mashine maalumu kutoboa kitundu ambapo galoni za mafuta hunyonywa kutoka mwilini kwa masaa mawili, muda mwingine mtu hutoa hata lita kumi za mafuta.
Wakuu, kwa yeyote mwenye ujuzi zaidi juu ya hii surgery, naomba tubadilishane mawazo na uzoefu. Uzito wangu ni kilo 73, urefu ni cm 171, nina miaka 25. MziziMkavu

Last edited by a moderator: