Kupunguza unene kwa njia ya Surgery

Kupunguza unene kwa njia ya Surgery

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,189
Reaction score
9,299
Wakuu,

Kwa watazamaji wa DSTV, watakubaliana nami kuwa kuna wakati walikuwa wakirusha vipindi vinavyoonyesha jinsi surgery za kupunguza unene zinavyofanyika. Nilipata tetesi hata Mustafa Hassanali ule mwili wake kaupunguza kwa njia hii.

Niliwahi kuona madaktari wanakuchora maduara kuzunguka maeneo yenye mafuta mwilini kwako kisha wanatumia mashine maalumu kutoboa kitundu ambapo galoni za mafuta hunyonywa kutoka mwilini kwa masaa mawili, muda mwingine mtu hutoa hata lita kumi za mafuta.

Wakuu, kwa yeyote mwenye ujuzi zaidi juu ya hii surgery, naomba tubadilishane mawazo na uzoefu. Uzito wangu ni kilo 73, urefu ni cm 171, nina miaka 25.
MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:

Njia uliyotaja mimi kusema ukweli siijuwi ila nina dawa zangu za kupunguza unene ukihijai Dawa zangu Bonyeza hapa.DAWA YA KUPUNGUZA UNENE, MAFUTA, KILO NA TUMBO

Hivi mkuu kwa tulio na maumbo ya chapati hakuna namna tunaweza kutobolewa walautukaingizwa pump na kujazwa upepo just in case? Kama una ujuzi tafadhali tiririka maana si mimi tu mwenye tatizo hili ukini PM wengine watakosa! Shukrani!
 
Kwani wataka kupunguza uzito wewe au?? Nenda kwanza hospital kama una mashaka na mwili wako kacheki BMI then baada ya ushauri ndio hayo mengine yafuate.
 
ni mimi ndio,BMI ndio nini ? nilifanyiwa surgery ya appendex mwaka 2013 je naweza kufanya mazoezi magumu kupunguza mafuta? MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
ni mimi ndio,BMI ndio nini ? nilifanyiwa surgery ya appendex mwaka 2013 je naweza kufanya mazoezi magumu kupunguza mafuta? MziziMkavu

BMI ni Body Mass Index (uwiano wa urefu wa mwili na uzito) kuna formula yake ila mie nimeisahau tu. Inabidi upime uzito wako na urefu then uzito wako unagawanya kwa uzito kama sokosei. Ila hivyo uzito sijui unatakiwa kuwa kwenye unit gani na sio meter
 
uzito kg 73, urefu sentimeter 171 miaka 25, ethnic: african
 
Bw Mombasa kwa mujibu wa bmi uko kwenye uzito wa afya ila ili uwe na amani zaidi pigana zisivuke 70 ili hata ukijisahau ukakuta zimeongezeka 2 unakuwa bado ndani ya uzito sahihi, inawezekana una tatizo linalokukera kwenye mwili na si uzito labda kitambi n.k
 
mkuu umejuaje ? manake hadi tumecheka ni kitambi cha kiaina sasa kinanikera balaa,shughuli zangu mara nyingi nasafir karibia kila siku,na niliwah kufanya surgery ya apendex sasa naogopa mazoez magumu
 
ni mimi ndio,BMI ndio nini ? nilifanyiwa surgery ya appendex mwaka 2013 je naweza kufanya mazoezi magumu kupunguza mafuta? MziziMkavu

kujua BMI yako..
pima mass of your body divide by square of your height..
mass iwe katika kilograms na height iwe katika metres..

jibu likiwa 18.5 - 25, upo sawa.
juu ya hapo 25 ni uzito umezidi,punguza.
juu ya 30 ni Obese, tatizo kubwa punguza tena kwa bidii.
 
Last edited by a moderator:
Kwa weight yako hauko overweight, ila kama unavyosema una kitambi, kutokana na genetics zako mwili wako unakuwa unapendelea kuhifadhi mafuta sehemu fulani mwilini wanaume weni ni kwenye tumbo.

Operation unayoongelea inaitwa liposuction unachomekwa kama lisindano likubwa mwilini kisha mafuta yananyonywa na pump hii ni kwa ajili ya kuondoa mafuta kidogo kama ya vitambi. Hii unafanyiwa siku moja unaenda nyumbani siku hiyo hiyo au kesho yake.

Hasanali inavyosemekana alifanya operation ya ya utumbo kuna aina tofauti lakini ile inapunguza size ya tumbo ili ushindwe kabisa kula chakula kingi na hivyo kupungua mwili, hii ni serious operation na ni hatari zaidi.

Option nyingine of course ni kubadili diet, mazoezi peke yake kama diet yako ni mbovu sio rahisi kukusaidia, hapa pia inategemea sana na genetics urahisi/ugumu wa kupoteza hicho kitambi.

Last edited by a moderator:
Hivi mkuu kwa tulio na maumbo ya chapati hakuna namna tunaweza kutobolewa walautukaingizwa pump na kujazwa upepo just in case? Kama una ujuzi tafadhali tiririka maana si mimi tu mwenye tatizo hili ukini PM wengine watakosa! Shukrani!

Duh mnachekesha nyie!!😂
 
mkuu umejuaje ? manake hadi tumecheka ni kitambi cha kiaina sasa kinanikera balaa,shughuli zangu mara nyingi nasafir karibia kila siku,na niliwah kufanya surgery ya apendex sasa naogopa mazoez magumu

Hahaha mi mwenyewe na kakitambi kananipa tabu na kilo nilikuwa nimemzidi Yaya Toure pamoja na urefu wangu w kitanzania 166cm, nimejitahidi tar. 5 june nilikuwa nlikuwa 82.5 kg nimechek tar 25 june nlikuwa 77.5. Ni mazoezi na kula sahihi sahivi chai natumia asali badala ya sukari, soda labda kwa bahati mbaya mara 2 kwa mwezi, pombe natumia dry red wine (soma manufaa yake) na nikila msosi sahivi ni maharage ugali sio ugali maharage kama tulivyozoea (umenisoma nadhani)
 
Ila nashauri kupunguza uzito kwa kuzingatia mazoezi na ulaji maana nikimwangalia Hassanali na yule mbongoflava Baghdad unaona kabisa pamoja na kupungua wana walakini fulani kiafya siwaoni kama wana uimara unaofanana na miili yao.
 
Kang mkuu kwa hapa afrika hufanyika wapi surgery za kunyonya mafuta? na je zina madhala kiafya?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mi mwenyewe na kakitambi kananipa tabu na kilo nilikuwa nimemzidi Yaya Toure pamoja na urefu wangu w kitanzania 166cm, nimejitahidi tar. 5 june nilikuwa nlikuwa 82.5 kg nimechek tar 25 june nlikuwa 77.5. Ni mazoezi na kula sahihi sahivi chai natumia asali badala ya sukari, soda labda kwa bahati mbaya mara 2 kwa mwezi, pombe natumia dry red wine (soma manufaa yake) na nikila msosi sahivi ni maharage ugali sio ugali maharage kama tulivyozoea (umenisoma nadhani)

mkuu ina maana umepunguza kila 5 kwa mwezi mmoja? mimi nimeanzisha utaratibu wa kunywa maji ya uvuguvugu nimechanganya na limao kila ninapoamka na kabla sijalala
 
Back
Top Bottom