Abigail2011
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 519
- 230
Kwanza kabisa ndugu zanguni wana Jf nawatakia heri ya mwaka huu mpyaa!,unaogawanyika.Haya niende kwenye mada nisiwachoshe ndugu zanguni;Jamani nawaomba wale ndugu zangu madaktari tulionao humu jf wanisaidie kwenye hili jambo sijui niliite la kimaumbile!;Ebwanae mashine yangu ikiwa hainashughuli kanakuaaga kadogo mpaka naogopaga kukaa uchi nikiwa na demu wangu!,ila bwana ikisimama!,kudadadeki inakua ndefu wa kama inch 7 hivi na unene wa kutosha!;Haya kwenu madaktari mwaga wino!.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums