Kupwa na kujaa kwa dushelele

Kupwa na kujaa kwa dushelele

Abigail2011

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
519
Reaction score
230
Kwanza kabisa ndugu zanguni wana Jf nawatakia heri ya mwaka huu mpyaa!,unaogawanyika.Haya niende kwenye mada nisiwachoshe ndugu zanguni;Jamani nawaomba wale ndugu zangu madaktari tulionao humu jf wanisaidie kwenye hili jambo sijui niliite la kimaumbile!;Ebwanae mashine yangu ikiwa hainashughuli kanakuaaga kadogo mpaka naogopaga kukaa uchi nikiwa na demu wangu!,ila bwana ikisimama!,kudadadeki inakua ndefu wa kama inch 7 hivi na unene wa kutosha!;Haya kwenu madaktari mwaga wino!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Usitafute mganga wala daktari..cha msingi mwamamke huwa anaridhika na shughuli unayompa kama inafaa na si maumbile ya uume wako kabla ya tendo...kwa kawaida uume hurudi hali yake ya kawaida kabla ya erection na hii haimaanishi kuwa una matatizo. Hapo usiwaze kabisa ndg
 
Nenda MMU, mwulizie bwana mmoja anaitwa Gogle atakupa majibu sahihi.
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo unataka muda wote iwe inch 7 ikisimama ifike 10!!!
 
Peleka kwenye jukwaa la JF Doctor utapata majibu mazuri ....

Kwanza kabisa ndugu zanguni wana Jf nawatakia heri ya mwaka huu mpyaa!,unaogawanyika.Haya niende kwenye mada nisiwachoshe ndugu zanguni;Jamani nawaomba wale ndugu zangu madaktari tulionao humu jf wanisaidie kwenye hili jambo sijui niliite la kimaumbile!;Ebwanae mashine yangu ikiwa hainashughuli kanakuaaga kadogo mpaka naogopaga kukaa uchi nikiwa na demu wangu!,ila bwana ikisimama!,kudadadeki inakua ndefu wa kama inch 7 hivi na unene wa kutosha!;Haya kwenu madaktari mwaga wino!.
 
Nenda kwa wamasai manzese bakheresa watakusaidia
 
shule zikifunguliwa mashindano ya UMISETA na UMitaSHumta yataanza rasmi.
 
Kichwa cha habari apa duuh kipelekwe salumi kikanyolewe maana ni mabuntu buntu tu apa minikajua? Itakua inajaamaji nakukauka yenyewe?kama kei kumbe ni ndonga aaah ushauri kataa nakisuu kama inakufanya uiwaze?
 
Kwanza kabisa ndugu zanguni wana Jf nawatakia heri ya mwaka huu mpyaa!,unaogawanyika.Haya niende kwenye mada nisiwachoshe ndugu zanguni;Jamani nawaomba wale ndugu zangu madaktari tulionao humu jf wanisaidie kwenye hili jambo sijui niliite la kimaumbile!;Ebwanae mashine yangu ikiwa hainashughuli kanakuaaga kadogo mpaka naogopaga kukaa uchi nikiwa na demu wangu!,ila bwana ikisimama!,kudadadeki inakua ndefu wa kama inch 7 hivi na unene wa kutosha!;Haya kwenu madaktari mwaga wino!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Lipia tangazo
 
Back
Top Bottom