KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

  • FREEMAN AIKAEL MBOWE

    Votes: 124 18.2%
  • TUNDU ANTIPAS LISSU

    Votes: 559 81.8%

  • Total voters
    683
  • Poll closed .
Hizi kura za mitandaoni hazinaga uhalisia wowote.
Refer Hillary Clinton Vs Trump.
Lowasa Vs Magufuli
Sugu Vs Mnyika
Etc.
 
Muda si mrefu, CHADEMA itafanya uchaguzi wa mwenyekiti wake.

Je wana jamvi , kama mngekuwa mnapiga kura au kuombwa ushauri wa nani achaguliwe kidemokrasia na kwa misingi ya haki kwa wawili hao hapo juu, nani mngempa kura zenu?
 
Sasa mbona hujaweka vitufe vya kubonyeza ili tupige kura?
 
Muda si mrefu, CHADEMA itafanya uchaguzi wa mwenyekiti wake.

Je wana jamvi , kama mngekuwa mnapiga kura au kuombwa ushauri wa nani achaguliwe kidemokrasia na kwa misingi ya haki kwa wawili hao hapo juu, nani mngempa kura zenu?
Mbowe ana features zote as a leader,sio Tundu Lisu..mjitahidi kusoma basi,sifa za mtu kiongozi ni zipi??
 
Muda si mrefu, CHADEMA itafanya uchaguzi wa mwenyekiti wake.

Je wana jamvi , kama mngekuwa mnapiga kura au kuombwa ushauri wa nani achaguliwe kidemokrasia na kwa misingi ya haki kwa wawili hao hapo juu, nani mngempa kura zenu?
Mbowe anatosha kwa sasa akivushe Chama salama kwa kipindi hiki
 
Muda si mrefu, CHADEMA itafanya uchaguzi wa mwenyekiti wake.

Je wana jamvi , kama mngekuwa mnapiga kura au kuombwa ushauri wa nani achaguliwe kidemokrasia na kwa misingi ya haki kwa wawili hao hapo juu, nani mngempa kura zenu?
2015, ndani ya CCM, hayati Membe na Lowasa walikua tishio sana kusambaratika kwa chama hicho, mtu wa tatu ambae ni muadilifu hayati Magufuli, akawa suluhisho na akawa uncompromised presidential candidate.

Nadhani mbadala wa Mbowe na Lisu anaweza kuinusuru Chadema katika kusambaratika.

Nadhani Wenje anaweza kuwaunganisha Chadema kuliko kubabaika na Lisu na Mbowe 🐒
 
Muda si mrefu, CHADEMA itafanya uchaguzi wa mwenyekiti wake.

Je wana jamvi , kama mngekuwa mnapiga kura au kuombwa ushauri wa nani achaguliwe kidemokrasia na kwa misingi ya haki kwa wawili hao hapo juu, nani mngempa kura zenu?
Mimi najiuliza, hivi kwa nini Mbowe asiamue tu kujitoa katika uchaguzi huu mana kakaa zaidi ya miaka 20 mvuto umepungua. Ukisema upige kura za maoni kwa wanachama wa chini, hakika Lisu atashinda lakini kwa sababu ya mizizi ya Mbowe, ni ngumu kumshinda kupitia halmashauri kuu, hivyo atumie tu busara kung'atuka la sivyo Lisu akishindwa CHADEMA itaparaganyika
 
Ni kweli Mbowe anapaswa kuachilia Ngazi... Ila Wachaga hawawezi kubali.
Mimi nisingependa Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti kwa siasa ngumu za sasa lakini pia nisingependa Lissu awe Mwenyekiti kutokana na hulka yake ya kutojua ni wakati gani diplomasia itumike na kuegemea kwenye udikteta tu na mapambano. CDM kitadhibitiwa na dola mpaka mtashangaa. wote hawafai ije damu mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…