Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Au mpaka na yeye afie madarakani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamejitokeza wenyewe.hao watu wawili umewatafuta wewe?
sasa mbona unaniambia mimi nimtafute mwengine? wakati unajua hawatafutwi wanajitokeza? je, wewe ni mpuuzi?Wamejitokeza wenyewe.
Hizi kura za mitandaoni hazinaga uhalisia wowote.View attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Tanzania ni yetu sote!!
Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake aliyedumu kwa miaka 20 Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake wa miaka mitano Mhe Tundu Lissu,
Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa kadhaa ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali katika nafasi hiyo muhimu kwa mustakabali wa ustawi wa Tanzània.
Mnafahamu kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii zilizowahi kuendeshwa kwa uwazi kabisa.
Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa jukwaa hili la Jamii Forum wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.
Lakini ifahamike pia, haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara au kushindwa mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni tu kuelekea kwenye uhalisia.
MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.
•••••••••••••
WaziriJenster mwagama anafaa
Mbowe ana features zote as a leader,sio Tundu Lisu..mjitahidi kusoma basi,sifa za mtu kiongozi ni zipi??Muda si mrefu, CHADEMA itafanya uchaguzi wa mwenyekiti wake.
Je wana jamvi , kama mngekuwa mnapiga kura au kuombwa ushauri wa nani achaguliwe kidemokrasia na kwa misingi ya haki kwa wawili hao hapo juu, nani mngempa kura zenu?
Mbowe anatosha kwa sasa akivushe Chama salama kwa kipindi hikiMuda si mrefu, CHADEMA itafanya uchaguzi wa mwenyekiti wake.
Je wana jamvi , kama mngekuwa mnapiga kura au kuombwa ushauri wa nani achaguliwe kidemokrasia na kwa misingi ya haki kwa wawili hao hapo juu, nani mngempa kura zenu?
2015, ndani ya CCM, hayati Membe na Lowasa walikua tishio sana kusambaratika kwa chama hicho, mtu wa tatu ambae ni muadilifu hayati Magufuli, akawa suluhisho na akawa uncompromised presidential candidate.Muda si mrefu, CHADEMA itafanya uchaguzi wa mwenyekiti wake.
Je wana jamvi , kama mngekuwa mnapiga kura au kuombwa ushauri wa nani achaguliwe kidemokrasia na kwa misingi ya haki kwa wawili hao hapo juu, nani mngempa kura zenu?
Mimi najiuliza, hivi kwa nini Mbowe asiamue tu kujitoa katika uchaguzi huu mana kakaa zaidi ya miaka 20 mvuto umepungua. Ukisema upige kura za maoni kwa wanachama wa chini, hakika Lisu atashinda lakini kwa sababu ya mizizi ya Mbowe, ni ngumu kumshinda kupitia halmashauri kuu, hivyo atumie tu busara kung'atuka la sivyo Lisu akishindwa CHADEMA itaparaganyikaMuda si mrefu, CHADEMA itafanya uchaguzi wa mwenyekiti wake.
Je wana jamvi , kama mngekuwa mnapiga kura au kuombwa ushauri wa nani achaguliwe kidemokrasia na kwa misingi ya haki kwa wawili hao hapo juu, nani mngempa kura zenu?
Mpuuzi ni wewe unayeuliza na kutoa hoja za kijinga.sasa mbona unaniambia mimi nimtafute mwengine? wakati unajua hawatafutwi wanajitokeza? je, wewe ni mpuuzi?
Mimi nisingependa Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti kwa siasa ngumu za sasa lakini pia nisingependa Lissu awe Mwenyekiti kutokana na hulka yake ya kutojua ni wakati gani diplomasia itumike na kuegemea kwenye udikteta tu na mapambano. CDM kitadhibitiwa na dola mpaka mtashangaa. wote hawafai ije damu mpya.Ni kweli Mbowe anapaswa kuachilia Ngazi... Ila Wachaga hawawezi kubali.
Au hujui maana yake?!udikteta