citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,707
- 881
Anayesimamia, kuhesabu na kutoa matokeo ni yule yule na mpenda madaraka oh tumeliwa. Matokeo .watakuwa 80%Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Salum Bimani, amesema viongozi wa chama hicho wanafanya vikao na Wanachama wake katika majimbo ya Unguja na Pemba kufikia uamuzi wa endapo kishiriki kwenye Serikali ya Umoja.
“Chama bado kinaendelea na vikao vyake kuhusu msimamo wake wa kuingia katika serikali au laa.” alisema.
Bimani aliyasema hayo, huku taarifa za zisizo rasmi zikieleza kwamba mchakato huo umekamilika na kazi kubwa inayofanyika hivi sasa ni kufanya uchambuzi wa maoni ya wanachama na kuangalia faida za kuingia katika serikali hiyo na hasara zake.
ACT Wazalendo kama watakubali kula na shetani basi wameishaMkurugenzi wa Habari na Uenezi wa chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Salum Bimani, amesema viongozi wa chama hicho wanafanya vikao na Wanachama wake katika majimbo ya Unguja na Pemba kufikia uamuzi wa endapo kishiriki kwenye Serikali ya Umoja.
“Chama bado kinaendelea na vikao vyake kuhusu msimamo wake wa kuingia katika serikali au laa.” alisema.
Bimani aliyasema hayo, huku taarifa za zisizo rasmi zikieleza kwamba mchakato huo umekamilika na kazi kubwa inayofanyika hivi sasa ni kufanya uchambuzi wa maoni ya wanachama na kuangalia faida za kuingia katika serikali hiyo na hasara zake.
Aacha watafute chakula mkuu,maana hiyo ndo njia waliobakiza Ili kukomboa vyama vyao baada ya kusalitiwa na wafuasi wao, ambao wapo busy mitandaoni kama wewe.Finally baada ya sarakasi zote hizo wataunga juhudi na Wala siyo kwa interest ya wanachama wao Bali matumbo ya Viongozi Wachache.
Wewe jiulize tu kura za Maoni za Nini Kama msimamo wenu bado nikuto utambua uchaguzi uliofanyika?
Hapo tayari washaunga juhudi sema wapo kutafuta justification tu ya kuhalalisha njaa zao.
#Njaa Ni mbaya Sana
#Tanzania hakuna upinzani.
Hoja pekee uliyonayo katika kila uzi ni sheteni.. shetani, Acha kuwa tutusa mkuu😂,jadili hoja.ACT kama watakubali kula na shetani basi wameisha
Hivi kuna jambo la kupigia kura hapo?
Waambieni wasione aibu, kama wanataka kwenda waende tu, tusichezeane akili.
Nawasubiri na hao Chadema leo nione watafanya nini, ndio nijue kama Tanzania kuna upinzani au ni CCM imejaa kila upande.
Swali la Msingi hapa:Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Salum Bimani, amesema viongozi wa chama hicho wanafanya vikao na Wanachama wake katika majimbo ya Unguja na Pemba kufikia uamuzi wa endapo kishiriki kwenye Serikali ya Umoja.
“Chama bado kinaendelea na vikao vyake kuhusu msimamo wake wa kuingia katika serikali au laa.” alisema.
Bimani aliyasema hayo, huku taarifa za zisizo rasmi zikieleza kwamba mchakato huo umekamilika na kazi kubwa inayofanyika hivi sasa ni kufanya uchambuzi wa maoni ya wanachama na kuangalia faida za kuingia katika serikali hiyo na hasara zake.
[emoji23][emoji2]Kura si walishapigiwa tarehe 28 na 27 Zikaporwa na CCM?
Hao nao njaa tu siyo watetezi halisi wa masilahi ya Wazanzibari.
Walisema safari hii Ukhanithi basi sasa kujiunga na CCM kwenye serikali iliyopatikana siyo Ukhanithi tu ni kushikishwa ukuta kabisaa
Kura si walishapigiwa tarehe 28 na 27 Zikaporwa na CCM?

Zitto, una mtihani mkubwa, washenzi hao akina Maalim kama wataingias kwenye ubatiliHivi kuna jambo la kupigia kura hapo?
Waambieni wasione aibu, kama wanataka kwenda waende tu, tusichezeane akili.
Nawasubiri na hao Chadema leo nione watafanya nini, ndio nijue kama Tanzania kuna upinzani au ni CCM imejaa kila upande.
Hivi mwaka 2015 walifanya huu mchakato kabla ya kuamua kususa? Hii ni technique ya kubuy time na ni suala la muda mfupi kabla hawajiunga na Serikali ya Dr. Mwinyi
Siasa ni ajira na ajira ni pesa!
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Salum Bimani, amesema viongozi wa chama hicho wanafanya vikao na Wanachama wake katika majimbo ya Unguja na Pemba kufikia uamuzi wa endapo kishiriki kwenye Serikali ya Umoja.
“Chama bado kinaendelea na vikao vyake kuhusu msimamo wake wa kuingia katika serikali au laa.” alisema.
Bimani aliyasema hayo, huku taarifa za zisizo rasmi zikieleza kwamba mchakato huo umekamilika na kazi kubwa inayofanyika hivi sasa ni kufanya uchambuzi wa maoni ya wanachama na kuangalia faida za kuingia katika serikali hiyo na hasara zake.
Kura si walishapigiwa tarehe 28 na 27 Zikaporwa na CCM?
Hao nao njaa tu siyo watetezi halisi wa masilahi ya Wazanzibari.
Walisema safari hii Ukhanithi basi sasa kujiunga na CCM kwenye serikali iliyopatikana siyo Ukhanithi tu ni kushikishwa ukuta kabisaa
hahahahh hongera mkuu kwa kulitambua hiloHivi kuna jambo la kupigia kura hapo?
Waambieni wasione aibu, kama wanataka kwenda waende tu, tusichezeane akili.
Nawasubiri na hao Chadema leo nione watafanya nini, ndio nijue kama Tanzania kuna upinzani au ni CCM imejaa kila upande.
Dou!!!! Hiki kwa sefu ni kitendawi.....Na yeye ndie atakae tegua kama yeye na halima wako sawa.Seif kama Halima tu