Laizer Peter
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 130
- 24
Wee wasiwasi wako nini?Subiri utapewa tarifa na maelekezo kutoka mamlaka husika!
Kaka umetumwa kuzungumzia hilo ama? Ondoa shaka kijana liko pale pale na itapigwa tuuuHabari Wana Jf.
Hivi hili swala la kura ya maoni ya kupitisha/kukataa KATIBA PENDEKEZWA Imeishiaga wapi?
Maana hata haisikiki tena
Nawasilisha.
Kaka umetumwa kuzungumzia hilo ama? Ondoa shaka kijana liko pale pale na itapigwa tuuu
Hiyo ndiyo imetoka, hakuna kura ya maoni.
Mambo mengine sio hadi uambiwe.Are u sure? who told you that.
hakuna msemaji hapo, chamsingi mtulie mtatangaziwa na wahusika ambao ni NEC sasa mbwembwe zote hizo za nini humu? TulieniNa wewe ni msemaji wa Tume??
acha wehu wewe umetumwa nini? Nani kakwambia kuwa hiyo ndo imetoka? Acha njaa zako humuHiyo ndiyo imetoka, hakuna kura ya maoni.
sio vbaya wengine wanakuwa wametumwa kwa lengo kukumbushia mada zilizopitwa ambazo ufafanuzi wake ulishatolewa, na ukweli ni kwamba kila jambo linaenda kwa wakati, wao NEC wanajua wanachokifanya tena kwa kutumia Sheria na vifungu vyake wala hawakurupuki kjanaSijatumwa ni kuuliza tu
au kwani kuna ubaya kuulizia?
sio vbaya wengine wanakuwa wametumwa kwa lengo kukumbushia mada zilizopitwa ambazo ufafanuzi wake ulishatolewa, na ukweli ni kwamba kila jambo linaenda kwa wakati, wao NEC wanajua wanachokifanya tena kwa kutumia Sheria na vifungu vyake wala hawakurupuki kjana
Hiyo ndiyo imetoka, hakuna kura ya maoni.
Ivi hayo maneno yako yanatokea kwa mdomo au kwa mkundu
Mambo mengine sio hadi uambiwe.
Hayo yote yanawezekena bongo
Mkuu punguza hasira,nadhani wewe mwenyewe kwa mchango huu hauko sawasawa unahitaji ukombozi wa kinywa na akili na fikra ili uwe raia mwema,jenga utamaduni wa kufuatilia taarifa sahihi za nchi yako usipende kuwa chanzo cha uongo!ukishindwa kuchangia hoja iliyoko mezani kaa kimya sio lazima uchafue hali ya hewa humu ndani, unakera mkuu!