Kura ya maoni imefikia wapi?

Kura ya maoni imefikia wapi?

Laizer Peter

Senior Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
130
Reaction score
24
Habari Wana Jf.

Hivi hili swala la kura ya maoni ya kupitisha/kukataa KATIBA PENDEKEZWA Imeishiaga wapi?
Maana hata haisikiki tena

Nawasilisha.
 
Kaka umetumwa kuzungumzia hilo ama? Ondoa shaka kijana liko pale pale na itapigwa tuuu
 
Hiyo ndiyo imetoka, hakuna kura ya maoni.
 
Hiyo avatar yako, machooo, masikioooo! Dah! Naona umejitwalia usemaji wa Tume ya Uchaguzi. Wawashwani? Muda ukifika baada ya kuahirishwa, utajulishwaaaa! Nchecheto wa nini?
 
Na wewe ni msemaji wa Tume??
 
Sijatumwa ni kuuliza tu
au kwani kuna ubaya kuulizia?
sio vbaya wengine wanakuwa wametumwa kwa lengo kukumbushia mada zilizopitwa ambazo ufafanuzi wake ulishatolewa, na ukweli ni kwamba kila jambo linaenda kwa wakati, wao NEC wanajua wanachokifanya tena kwa kutumia Sheria na vifungu vyake wala hawakurupuki kjana
 
Ivi hayo maneno yako yanatokea kwa mdomo au kwa mkundu
 
Hiyo ndiyo imetoka, hakuna kura ya maoni.

Ukiona mbwa yuko juu ya mti ujue kapandishwa huko!huo ndo mwisho wako wa kufikiri!Hakuna kitu kibaya kama kujikinai mwenyewe na kuruhusu akili ndogo itawale akiri kubwa,jiandikishe kwanza kwenye daftari la kudumu afu utapewa maelekezo na Tume!
 
Ivi hayo maneno yako yanatokea kwa mdomo au kwa mkundu

Mkuu punguza hasira,nadhani wewe mwenyewe kwa mchango huu hauko sawasawa unahitaji ukombozi wa kinywa na akili na fikra ili uwe raia mwema,jenga utamaduni wa kufuatilia taarifa sahihi za nchi yako usipende kuwa chanzo cha uongo!ukishindwa kuchangia hoja iliyoko mezani kaa kimya sio lazima uchafue hali ya hewa humu ndani, unakera mkuu!
 
Hayo yote yanawezekena bongo

Kwa mujibu wa tume tarehe ya upigaji wa kura ya maoni iliahirishwa,So kinachoendelea sasa ni zoezi la uandikishaji wa wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwanza, then Tume itatupa mwelekeo wa lini kura itafanyika hakuna shida!kikubwa stay watching!!!K
 
Mkuu punguza hasira,nadhani wewe mwenyewe kwa mchango huu hauko sawasawa unahitaji ukombozi wa kinywa na akili na fikra ili uwe raia mwema,jenga utamaduni wa kufuatilia taarifa sahihi za nchi yako usipende kuwa chanzo cha uongo!ukishindwa kuchangia hoja iliyoko mezani kaa kimya sio lazima uchafue hali ya hewa humu ndani, unakera mkuu!

hahahaha! wee ngwale vipi?
 
Back
Top Bottom