Acha utoto unaposema mipasho unamaanisha nini... utu uzima pia ni kuwa mstaarabu kwa kila neno unalotamka!
Japokuwa namheshimu sana Nyerere na natambua mchango wake kwenye Taifa hili; Yeye ndiye katuachia confusion yote hii.
Mimi nadhani Nyerere pia hakua tayari kuingia vyma vingi bali kwakujua yatakayotokea mbele ya safari alitu pre-empt na kutuanzishia vyama vinavyo fanana na upinzani lakini si vya upinzani in their operation.
Sasa ndiyo tunatafuta vyama vya upinzani kweli na demokrasia ya vyama vingi.
Well angekuwepo angetupa sababu ya kutuingiza kwenye hii confusion pengine nia ilikuwa njema labda alitaka guided demokrasia.....Hii ni labda lakini kwa macho yangu yaliyojaa maruweruwe basi successors wake ama hawakumwelewa na hivyo kawaacha wahawajui vision yake au hawakuwa pamoja naye tangu mwanzo.
Kimoja tu ni kuwa we are in a deep confusion; shukrani kwa incubent president amekuwa accomodative!
serkal 2 ili kuepusha kuvunja muungano siku za usoni
acha ufala weye m'burulaaamimo chaguo langu na wanaotutakia nemá ndani ta taifa letu tuchague mfumo wa serikali mbili kwani changamoto zake zinazungumzika. Tusikubali kudanganywa na watu wanaopewa fedha na wazungu kwani lengo kao ní kuturudisha kwenye. Ukoloni. Tuwakatae kama. Raid mugabe alivyo simama.
Serikali mbili msimamo wananchi wenzangu tusikubali kuhadaika na waru waliopewa mabilioni na mataifa ta wazungu lea lengo lao ní kuvuruga umoja na mshikamano tulionao ndani ya Taifa letu. Endapo tutawapatia fursa ya serikali tátu jana watakavyo tutapekekea dámu kumwagika kama mataifa mengine na dhambi Guo itatugharimu hadí ahera. NARUDIA SERIIKALI MBILI MSIMAMO WA WATU WENYE NIA NJEMA NA TANZANIA YA JULIUS KAMVARAGE NYERERE NA ABEID KARUME WAASISI WETU. MUNGU MBARIKI KIKWETE MUNGU IBARIKI TANZANIA
Ongeza 5 na 6. Kila nchi iwe na serikali yake?. Kuwe na serikali moja TU?Ongeza mamba 4 kwa wasiotaka muungano.
Ongeza 5 na 6. Kila nchi iwe na serikali yake?. Kuwe na serikali moja TU?Ongeza mamba 4 kwa wasiotaka muungano.