ktk uhalisia wazanzibari wanataka serikali tatu, na wanaamini hilo litaipa serekali yao nguvu ya maamuzi zaid na uchumi wao utakuwa kwa kasi naisipokuwa hivyo kero za muungano hasitaisha kwani waanzilishi wa kero za muungano ni zanzibar na sasa imefika mahali watanganyika tutaanzisha kero za mungano kwani huko nyuma ilikuwa ni uhaini kujadili muungano ila sasa mambo yapo peupe na ufahamu wa wengi juu ya muungano umeongezeka mno baada ya ujio wa katiba mpya kwangu mimi suluhisho ni serekali tatu kwani ndiyo mwarubaini pekee wa haya maradhi na hatuwezi kuendelea kuairisha kuyatibu kwa kuwapatia zanzibar kila wanachoitaji huku tukijidanganya tutabaki na serikali mbili na hii ni njia ya uwoga kushughulikia mzizi wa tatizo na si vyema kuendelea kudili na vimatawi huku tukijifariji tunashughulikia tatizo(kero za muungano)