Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Muundo upi wa Muungano unafaa?

  • Serikali 1

    Votes: 81 23.3%
  • Serikali 2

    Votes: 22 6.3%
  • Serikali 3

    Votes: 241 69.5%
  • Sijui

    Votes: 3 0.9%

  • Total voters
    347
  • Poll closed .
ktk uhalisia wazanzibari wanataka serikali tatu, na wanaamini hilo litaipa serekali yao nguvu ya maamuzi zaid na uchumi wao utakuwa kwa kasi naisipokuwa hivyo kero za muungano hasitaisha kwani waanzilishi wa kero za muungano ni zanzibar na sasa imefika mahali watanganyika tutaanzisha kero za mungano kwani huko nyuma ilikuwa ni uhaini kujadili muungano ila sasa mambo yapo peupe na ufahamu wa wengi juu ya muungano umeongezeka mno baada ya ujio wa katiba mpya kwangu mimi suluhisho ni serekali tatu kwani ndiyo mwarubaini pekee wa haya maradhi na hatuwezi kuendelea kuairisha kuyatibu kwa kuwapatia zanzibar kila wanachoitaji huku tukijidanganya tutabaki na serikali mbili na hii ni njia ya uwoga kushughulikia mzizi wa tatizo na si vyema kuendelea kudili na vimatawi huku tukijifariji tunashughulikia tatizo(kero za muungano)
 
Serikali tatu na Serikali mbili zitabaki kuwa ni za wasaka Tonge tuuu
 
Serikal moja ndio mkomboz wa wananchi..
Kama serikal tatu ni gharama hata serikal mbil ni gharama pia....serikal moja ndio mkomboz wa maendeleo
 
Serikal moja ndio mkomboz wa wananchi..
Kama serikal tatu ni gharama hata serikal mbil ni gharama pia....serikal moja ndio mkomboz wa maendeleo

Bora mwelekeo huu ambao hata mimi binafsi naona ndio suluhisho.Hakunaga Serikali tatu ambapo hiyo Serikali yenyewe haina hata kipande cha ardhi,itajijengaje?

Tufumbue akili zetu maana macho yanaangalia lakini hayaoni. Hata wazee wetu waasisi wa Muungano,hawakuwahi hata siku moja kulumbana juu ya Serikali 3 coz walishajadili na kuona mmmm...haiwezekani,leo tunajazwa ubumunda na baadhi yetu wanaumeza hivyo hivyo badala ya kuutema.Ukimuuliza sababu za kutaka Serikali 3, utasikia Ooo,Warioba kesha zisema..wewe za kwako ni zipi?

Tatizo namba moja la Watanzania wengi ni kupenda saana KUWAZIWA,wao kushughulisha akili zao,aaaaa....tena na wengine wanajiita WASOMIWamesoma ama wamehesabu miaka ya kukariri maandishi toka kwa wazungu?ndio maana hata Lugha yetu ya kiswahili tunaipuuzia..Karabagahoo...
 
Nataka Serikali 3 ili kupingana na fikra za Nyerere na Karume.
Napingananao kwakuwa Mawazo yao hayaendani na kizazi hiki.
 
Bunge la Katiba linatakiwa kutengua kitendawili kimoja tuu ili kupata jibu la matatizo ya Muungano
Kwa sasa: Tanzania =Tanganyika whereas Zanzibar is a country inside Tanganyika

It should be: Tanzania(x, n) = Tanganyika (x+y) + Zanzibar (x+m)

x issues under Tanzania which cut across both countries
y independent issues of Tanganyika
m independent issues of Zanzibar
 
Mbili mbili mbil mbili mbili mbili mbili mbili mbili mbili mbili mbili mbili mbili mbili mbili mbili
 
Si nimekwambia shida yako haitofautiani na wajumbe wa CCM BMK kule Dodoma, Mmeambiwa na na Tume Msome Randama na Bango Kitita kila mnaposoma Rasimu na Taarifa maalum ya Tume. Wewe kaa kama ulivyo na Principle zako za Physics.

UTATU MTAKATIFU..... Kinachowasumbua CCM
 
moja ndo nataka ila kwakuwa wazanzibar hawataki moja kwa kuwa wanaipenda nchi yao zaidi ya muungano bac ni vema tuwe na tatu ila rais awe mmoja wengine wawe mawaziri wakuu..
 
Back
Top Bottom