Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
serikali tatu...Sababu alishaeleza warioba
Serikal moja ndio mkomboz wa wananchi..
Kama serikal tatu ni gharama hata serikal mbil ni gharama pia....serikal moja ndio mkomboz wa maendeleo
Nataka Serikali 3 ili kupingana na fikra za Nyerere na Karume.
Napingananao kwakuwa Mawazo yao hayaendani na kizazi hiki.
Si nimekwambia shida yako haitofautiani na wajumbe wa CCM BMK kule Dodoma, Mmeambiwa na na Tume Msome Randama na Bango Kitita kila mnaposoma Rasimu na Taarifa maalum ya Tume. Wewe kaa kama ulivyo na Principle zako za Physics.