kibosho munishi
Member
- Aug 1, 2014
- 17
- 4
Serikali 2. Koti la muungano ndilo linalo leta utulivu zanzibar vinginevyo ni upemba na unguja.
Ulikuwepo kwa nini watu waliuana Januari 1964?Ndivyo mnavyoambiwa makanisani ???
Kabla ya muungano huo uunguja na upemba mbona hatukuusikia ??
Ulikuwepo kwa nini watu waliuana Januari 1964?
Ulikuwepo kwa nini watu waliuana Januari 1964?