Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Muundo upi wa Muungano unafaa?

  • Serikali 1

    Votes: 81 23.3%
  • Serikali 2

    Votes: 22 6.3%
  • Serikali 3

    Votes: 241 69.5%
  • Sijui

    Votes: 3 0.9%

  • Total voters
    347
  • Poll closed .
Muungano wa Marekani hauna Kero za muungano wala Wizara ya muungano hata Ada za muungano hulipwa kwa wakati si Kama Zenji wamekwepa Ada ya muungano kwa miaka 47, Zile nchi ndogo ndogo hazifugi watu kwa kuzitegemea Nchi kubwa , kila Nchi inajielewa haina Utegemezi wa Makusudi Kama Zenji inavyomchuna Buzz Tanganyika , muungano wao upo kisayansi sana , Ukabila,Udini, na Uchoyo wa Ardhi na mafuta. ni mwiko , hawana wajanja wajanja wanafuja pesa za muungano ! Tujifunze kwao Rais awe mmoja tu.
 
kwanini 3 na isiwe mbili?toa hoja ya msingi.
rasimu ya katiba imeankisha vema sana. Lakini sisi tunanyonywa na zanzibar kwa kuwa na serikali yao ndani ya muungano. Vijimbo vyao kama mtaa wa mateka na vinawabunge wawili. Wakati sisi jimbo moja linavijiji 62, can you imagine na mgao wa pesa ya jimbo ni sawa.
 
Sitaki serikali yoyote either iwe moja, mbili au tatu. Tuuvunje hako kamuungano feki kila nchi ifanye mambo yake kimpango yake tu!!
 
Niwe mkweli kabisa sitaki serikali tatu wala mbili mimi naitaka TANGANYIKA yangu Nyerere alikosea sana kuunganisha nchi na kata ya Zanzibar, Wadanganyika mjue kwenye huu unaoitwa muungano tunaoumia ni sisi naomba tupigane kurudisha Tanganyika yetu yenye mamlaka kamili.
 
Mkuu kipindi kile kilikuwa cha udekteta lakini udekteta wake siyo wa mauwaji ni wa mnyonge yaani kulia anauma na kushoto anapuliza na akitamka jambo lolote basi huwa kuun fa yakun na na ukimpinga tuu basi siku hiyo hiyo tena mida ya alfajiri unapotea sasa hapo utatia neno na matunda ya nyerere ndio haya sasa kwa kuifanya zanzibar kuwa koloni la tangayika na wakati ule unguja walikuwa kwenye usingizi wa pono sasa wameamka na hataki tena kutawaliwa na mafisadi wa tanganyika na washajua rasimu ya katiba kina kipengere cha 6 na 1 0 kinatamka hivi munguja yoyote akitaka kuwowa mke basi itamlazimu kwenda dodoma kuchukuwa shahada ya ndoa na sasa wanaona kama ni koloni la sahara ya magaharibi kutawaliwa na muroko
 
Mkuu kipindi kile kilikuwa cha udekteta lakini udekteta wake siyo wa mauwaji ni wa mnyonge yaani kulia anauma na kushoto anapuliza na akitamka jambo lolote basi huwa kuun fa yakun na na ukimpinga tuu basi siku hiyo hiyo tena mida ya alfajiri unapotea sasa hapo utatia neno na matunda ya nyerere ndio haya sasa kwa kuifanya zanzibar kuwa koloni la tangayika na wakati ule unguja walikuwa kwenye usingizi wa pono sasa wameamka na hataki tena kutawaliwa na mafisadi wa tanganyika na washajua rasimu ya katiba kina kipengere cha 6 na 1 0 kinatamka hivi munguja yoyote akitaka kuwowa mke basi itamlazimu kwenda dodoma kuchukuwa shahada ya ndoa na sasa wanaona kama ni koloni la sahara ya magaharibi kutawaliwa na muroko

Mmmmh! Ya kweli hayo wakitaka kuoa lzm waende dom?
 
Hio ya serekali tatu ni hoja ya kisiasa ambayo haina msingi wowote. Ni hoja ambayo haiangalii ugumu wa maisha ya Tanzania. Ningewaona wa maana sana kama mngefikiria kuvunja serekali moja ibaki moja ili izo gharama za kuendesha serekali ya pili zielekezwe ktk maendeleo ya mtanzania. Acheni siasa za kishabiki. nyinyi mmesikia malalamiko Yakuitaka serekali iliopo ipunguzwe maana ni kubwa sana na ni gharama kuendesha. sasa ilo mmeliweka pembeni mwaitaka serekali ya 3 sasa hapo tunaongeza au kupunguza ukubwa wa serekali? hoja ya kutaka kupunguza serekali imeishia wapi? Mwisho wa siku nchi itachukuliwa na makamanda kama alivosema Mzee JK. Tuwe wazalendo na nchini yetu tuache siasa uchwara.
 
Kwakuwa wazanzibari hawataki moja nasisi watanganyika hatutaki mbili maana Tanganyika yetu inakufa na tunataka Ser 3 maana itatatua kero zote za muungano kwa pande zote mbili!
 
Serikali moja, Zanzibar iwe mkoa. Kwanza fedha zitakuwa nyingi Kwani ikulu na staff yake inafutiliwa mbali, guarana za kuwatunza viongozi wakubwa wa zanzibar zinafutwa. Mobsters cha kuhisi jeshi litapindua nchi kitatoweka. Serikali 1.
 
Wanzanzibati hawafiki hata milioni tatu Alafu watukatalie. Ujingaa huu
 
Serikali moja tu ya Tanganyika, Zanzibar na Pemba ziwe nchi jirani.
 
We should have 3gvt WE SHOULD HAVE TANGANYIKA AND ZANZIBAR GOVERMENTS.AND THE LAST ONE SHOULD BE UNION GOVERMENT DEALING WITH UNION MATTER.SO AS TO BRING ABOUT STABILITY BTN THE TWO SIDE
 
Kiukweli bora 2vunje muungano, waznz hawautaki na wanadhihirisha kwa ubaguz mkubwa, chuki na ubinafsi wanaoufanya dhidi ya wabara. Mara wana2ita wakoloni weusi, mara taifa la makafiri, mara muungano ni shinikizo la magharibi, ooh 2nawaharibia mila zao, 2nawafanya wawe masikini, walichoma maduka ya wabara. Hawataki hata kuitwa Watanzania. Ilimradi 2 wanapandikiza chuki dhidi ya wabara .
 
Napenda serikali tatu kwa sababu:

  • Ni serikali itakayodumisha muungano kutokana na kero zilizopo!
  • Ni muundo mmoja wapo wa kudumisha democrasia na ndio muundo halali wa kusimamia haki na usawa bila kupoteza utaifa nchi mbili zilizoungana!
  • Ni muundo utakaoleta ushindani wa kimaendeleo baina ya nchi wahusika!
  • Ni muundo utakaogawa majukumu ya nchi husika bila kuingiliana kimamlaka!
  • Ni muundo utakaosaidia kuondoa ufisadi na kuleta uwajibikaji instead of kuwaacha ccm kuendeleza ufisadi na kuiendesha nchi kwa sera za kiccm ccm!
 
Back
Top Bottom