Kura ya Maoni: Tozo la Kodi ya Miamala ibaki, iondolewe au ipunguzwe?

Kura ya Maoni: Tozo la Kodi ya Miamala ibaki, iondolewe au ipunguzwe?

Nini maoni yako juu ya Kodi ya Miamala ya Simu?


  • Total voters
    71
  • Poll closed .
Tupige kura ili kujua WaTAnzania tunataka nini kuhusu kodi hii mpya ya miamala
mkuu hili nalo ni la kupigia kura? au na wee umeshashiba makande unawajaribu watu?, kwani wee hujui hili swala ni uhaini na uzandiki mtupu? hawakupaswa kugusa miamala hata kidogo

Heri wangepandisha kodi kwenye vileo vyote na sigara.
 
Iongezwe zaidi ili huduma ziweze kuboreshwa zaidi nchini.

Napendekeza na huduma kama NMB Mobile etc na monthly charges za kuendeshea personal accounts kwenye bank zetu nazo ziongezwe mara dufu.
 
Weka na option ya "Iondolewe" hakuna haja ya kuweka tozo la serikali wakati kuna kodi tayari walikuwa wanapata.
 
Nchi hii watu uwezo wa kufikiri umedumaa kipindi cha Corona badala ya kupunguza misongamano bank wao ndio wanaongeza kwa kujiita wazalendo na kuua ajira za mawakala...na ndugu zetu wa vijijini kukosa pesa kwa wakati
 
Back
Top Bottom