Hivyo viungo vyote ulivyovitaja najua unavyo na ndo vinakusaidia kufika Buguruni team aka UKAWA CAMP kuchukua jerojero nyie tutawazika rasmi kabla ya oktoba 2015 kupata wagombea wa majimbo 12 na nafasi ya urais kati ya hawa chek hapa chni acha kelele!!!!View attachment 254209ukishaangalia chagua nani anakufaa teh teh tehView attachment 254211
Wewe sifuri tuuu huna jipya hapa
View attachment 254396
Wewe sifuri tuuu huna jipya hapa
View attachment 254396
Mchumia tumbo wewe wa Ukawa huna lolote njaa itakuua kijana umekuwa kama mfagio wa chooniYou are just like her...........:majani7::majani7:Bwana ni shida kabisa:hatari::hatari:
Mchumia tumbo wewe wa Ukawa huna lolote njaa itakuua kijana umekuwa kama mfagio wa chooni
View attachment 254400 Kichwani hamna kitu uko kama kopo lisilo na kitu na linalopiga kelele tu, mcheki jamaa kapanda juu ya kichwa chako kachungulia kaona hamna kitu ndo manaa unapost ujinga ujinga
Mchumia tumbo wewe njaa itakuua mwaka huu kichwani ni sifuri tuuCheck JEZI yake rangi gani.........Then soma signature yangu halafu ACHA:majani7::majani7:Zina kuharibu UBONGO...........TOPIC :closed_2: :rip:CCM
Check JEZI yake rangi gani.........Then soma signature yangu halafu ACHA:majani7::majani7:Zina kuharibu UBONGO...........TOPIC :closed_2: :rip:CCM
UKIWA MSEMAJI WA UKAWA TUNATAKA MAJIBU KURA MAONI YA MAJIMBO HAYA 1. Segerea 2 Temeke 3 Ukonga 4 Ilala 5Ilala 6.Kinondoni 7.Kigamboni 8. Serengeti 9.Mafia 10.Morogoro mjini 11.Kilosa 12.Mtwara mjini 13.Vunjo ambalo sasa mmemuachia Mbatia akapambane na Mrema.
kwa kukushauri naona hotuba ya mwenyekiti imewafanya m-loose control ya ubongo wenu.any way....pole sana ila fyi 2015 vote for ukawa:whoo::whoo::whoo:
Unaweza kutupa kwanza Mgombea wenu wa MAGAMBA?Uko busy na kuzima moto nyumba ya jirani kwako huku kumekwisha kabisa.Moto umeteketeza kila kitu.Pole:hatari::hatari:
teh teh teh umesema hotuba ya mwenyekiti na kuielewa kumbe unamtambua safi sana kijana,check picha chini hapo hawa wachumia tumbo walivyopaniana kwa uchu wa madaraka teh teh teh View attachment 254415
Mama tetty mchumia tumbo!
View attachment 254417
Jay Milionea, unatumia nguvu nyingi sana juu ya Tetty, huyo ni mweupe kama ilivyo picha yako uliyoonesha hapo juu. Mwenye akili timamu huwezi kuwa mwanachama wa kikundi cha watu waliokusanyana.
Huko kwenu karibia mtauana kisa URAHISI.mwaka huu mkitoka salama huko mumshukuru Mungu.Ila kabla haujanyoosha kidole kwa mwenzako jitahidi kuangalia vingapi vinarudi kwako.
Pili mngekuwa siyo waroho wa madara Magari 700 kwa polisi ya nini?Kuna vita October 2015?
Poor you...........:majani7::majani7::majani7: Zintawaumiza na CCM :A S 103::A S 103::A S 103:
Duuu kweli naoma kuna mchuano mkali kati ya wafuasi!!Matokeo yake mtapigwa mabomu nyie!!