Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,411
Hivyo viungo vyote ulivyovitaja najua unavyo na ndo vinakusaidia kufika Buguruni team aka UKAWA CAMP kuchukua jerojero nyie tutawazika rasmi kabla ya oktoba 2015 kupata wagombea wa majimbo 12 na nafasi ya urais kati ya hawa chek hapa chni acha kelele!!!!View attachment 254209ukishaangalia chagua nani anakufaa teh teh tehView attachment 254211
Kwa kukushauri naona HOTUBA ya Mwenyekiti imewafanya M-loose control ya ubongo wenu.Any way....pole sana ila FYI 2015 VOTE FOR UKAWA:whoo::whoo::whoo:

