SIDANGANYIKI2015
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,054
- 114
Wala,haya maneno ya MTANDAONI tu.Huko kijijini kwa sasa KAMPENI ni moja tu KAJIANDIKISHE,tukimaliza hilo zoezi tunakuja na KAMPENI nyingine 2015 NO VOTE TO CCM
Lowassa tu...wataenda....watarudi.....Lowassa tu.Na wasipomuweka huyu wamekwisha...wakimuweka pia wamekwisha....yaani hakuna kumeza wala kutema.
nilidhani unakuja na jambo jipya kumbe na wewe ni walewale team Buguruni tokaaaView attachment 254452
Ni kweli lakini siyo kama kile kichokusanyana pale Dodomya kikikutana kuongelea na kumchagua aliyemahiri KUTOA PESA ili mradi tu apate URAHISI...Watanzania tunajiuliza kuna nini kule IKULU mpaka watu watoane macho,pesa zitembee utadhani kuna bank inamilikiwa na CCM.Duh yaani ni ATM za CCM kila mahali.
CCM=EBOLA kaa mbali nayo
Hizi ni changamoto za kawaida tuu ndani ya UKAWA .ccm mnafurahia ya UKAWA wakati kwenu hali ndo mbaya zaidi kuliko UKAWA.