Kura ya maoni, Ukawa wavutana Dar

Kura ya maoni, Ukawa wavutana Dar

Wala,haya maneno ya MTANDAONI tu.Huko kijijini kwa sasa KAMPENI ni moja tu KAJIANDIKISHE,tukimaliza hilo zoezi tunakuja na KAMPENI nyingine 2015 NO VOTE TO CCM

Mbio za Baharini huishia deep sea!mwaka huu mtakunywa sana maji ya chumvi ndoa yenu ya UKAWA image.jpgmsimamizi MALEMA LAZIMA IPASUKE KABLA YA OKTOBA 2015.
 
Ni kweli lakini siyo kama kile kichokusanyana pale Dodomya kikikutana kuongelea na kumchagua aliyemahiri KUTOA PESA ili mradi tu apate URAHISI...Watanzania tunajiuliza kuna nini kule IKULU mpaka watu watoane macho,pesa zitembee utadhani kuna bank inamilikiwa na CCM.Duh yaani ni ATM za CCM kila mahali.

CCM=EBOLA kaa mbali nayo

UKAWA ni sawa na WACHEZA KAMALI HAKUNA hakuna muda wa kupoteza kuwapigia kura hawa kama ilivyochanika bendera ya moja ya washirika wa UPAWA ndo watakavyochanika baada ya Oktoba 2015 View attachment 254453
 
Hizi ni changamoto za kawaida tuu ndani ya UKAWA .ccm mnafurahia ya UKAWA wakati kwenu hali ndo mbaya zaidi kuliko UKAWA.

Kuna mchangiaji kasema sumu ya panya inawatafuna na wewe umekubali kumbe wamekula Sumu ya panya mende nyenyere ya kuchora na panya ya kukausha!Poleni na siasa taka manazoendelea nazo!!
 
Back
Top Bottom