Kura ya Mungu ipo kwa Lissu 2020: Mwaka 2015 Ilikuwa kwa Magufuli; wapi alikosea Magufuli? jionee

Huyu Mungu mnaemzungumzia sijui ni Mungu yupi maana naona ccm inamzidi maarifa huyo Mungu kwenye kila uchaguzi,ngoja uchaguzi uishe sijui huyo Mungu nae atalalamika kuibiwa kura yake ama sijui vp?
Ahahahh
 
Nakwambia hivi mkuu watu wenye kutaka mabadiliko kweli ambao wameichoka kweli ccm na miaka yote maamuzi yao ya kuitoa ccm yamekuwa hayaheshimiwi, ni wazi hata kwenda kwenye hayo matamasha yaliyoandaliwa na ccm wasingekuwa wanaenda.

Ndio maana nakwambia hawa watu hawajielewi na hivyo wingi wao kwenye mikutano hauna maana yeyote kwanza hata uelewa wa kuelewa hizo sera hawana.

Hao Nccr na cuf enzi zao zishapita na si kwamba watu wanaenda kujazana kwa Lissu kwa sababu ya sera za chadema ni suala la ushabiki tu na ndio maana hata ccm nayo ina washabiki wengi tu pamoja na yote haya,kiukweli haya mafuriko hayana maana yeyote.
 
Hivi unajua viingilio vya kuwaona wasanii wangapi Wana mudu pili wasanii ufanya show kwenye miji mikuu pekee hivo nafasi adhimu Kama hizo Mara moja Tena kwa miaka 5 Ni lzm wajae
 
Hivi unajua viingilio vya kuwaona wasanii wangapi Wana mudu pili wasanii ufanya show kwenye miji mikuu pekee hivo nafasi adhimu Kama hizo Mara moja Tena kwa miaka 5 Ni lzm wajae
Na ndio maana nakwambia hao watu bado hawajajielewa,kwa jinsi tunavyoambiwa kuwa watu wameichoka ccm tena hasa utawala huu wa Magu ni ajabu kwa hao watu kuwa na hamu hata ya kwenda kuburudika kwenye tamasha lililoandaliwa na ccm,nadhani hii ndio ingekuwa nafasi ya kutuma ujumbe kwa ccm kuwa tumewachoka hatuwahitaji kwa kutokwenda kwenye hayo matamasha ila hali ipo kinyume chake.

Ccm imeshawajuwa hawa watu walivyo na inajua jinsi ya kwenda nao.
 
Hivi unajua viingilio vya kuwaona wasanii wangapi Wana mudu pili wasanii ufanya show kwenye miji mikuu pekee hivo nafasi adhimu Kama hizo Mara moja Tena kwa miaka 5 Ni lzm wajae
Baada ya uchaguzi, ndio utajua hao hao unaosema wameenda kuangalia wasanii ndiyo wapiga kura.

Subiri tutaona. Nitakutafuta baada ya matokeo.
 
Tatizo la magufuli ni kiburi, dharau na ujuwaji mwingi.me nilimshangaa alipoanza kusimama makanisani na kuanza kuhubiri nikajuwa kuna anguko kubwa.
Na kufuru pia anataka asujudiwe mpaka baadhi ya wafuasi wake wakamwita Yesu.
 
Kura ya Mungu hakuwahi kuwa kwa magufuli wakati wowote wa maisha yake,Mungu hafungamani na watu wanaolitaja jina lake bure
 
Question hii inabadirishwa 2020
 
Baada ya uchaguzi, ndio utajua hao hao unaosema wameenda kuangalia wasanii ndiyo wapiga kura.

Subiri tutaona. Nitakutafuta baada ya matokeo.
Kuna mwenye akili timamu kweli atachagua kuteseka tena
 

Je bado Kura ya Mungu ipo kwa Lisu?
 
Baada ya uchaguzi, ndio utajua hao hao unaosema wameenda kuangalia wasanii ndiyo wapiga kura.

Subiri tutaona. Nitakutafuta baada ya matokeo.

Tunazungumzia Kura ya Mungu sio yako au yangu.

Nadhani umeelewa uzi huu vizuri kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…