Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
kura ya SIRI itumike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh haya mambo huwa yanatokea tanzania tu, yaani kura ya cri itumike kuchagua kura ya wazi, ni -------- tu ndo anaweza kuwa na maamuzi ya kijinga kama haya
Ndivyo nilivyomsikia mwenyekiti wa kamati hiyo ya Siri na Uwazi katika taarifa ya habari akisema pande zote 2 zimetoa hoja za msingi na za kidemokrasia na kushindwa kutoa maamuzi na Usiri huo na Uwazi kurejeshwa tena kwa Wajumbe kwa maamuzi.,
Source: Chanal10
Katika nchi zote zilizo endelea kidemokrasia kura ya siri hutumika pale mtu anapokuwa na uamuzi binafsi tu kuamua jambo. Mambo yote yanayo husu masuala ya kitaifa kura ya wazi ndio hutumika. Tukumbuke, katiba ni suala la kitaifa si suala la mbunge kwa binafsi yake. Na yeye pale anawakilisha watu, na sio yupo pale kwa binafsi yake. Kura ya WAZI ndio ya haki na sio ya siri.
Ni kweli wenzetu wanafanya hivyo lakini tofautisha mazingira yao na yetu hapa nitofauti kabisa,wao hawaitani kufanya vikao vya vyama kupanga hila kwa maslahi binafsi,kila mtu anakuwa na msimamo na utashi bila kulazimishwa na kushinikizwa na chama wako huru kusimamia wanachokiamini.
Katika nchi zote zilizo endelea kidemokrasia kura ya siri hutumika pale mtu anapokuwa na uamuzi binafsi tu kuamua jambo. Mambo yote yanayo husu masuala ya kitaifa kura ya wazi ndio hutumika. Tukumbuke, katiba ni suala la kitaifa si suala la mbunge kwa binafsi yake. Na yeye pale anawakilisha watu, na sio yupo pale kwa binafsi yake. Kura ya WAZI ndio ya haki na sio ya siri.
Mkuu hicho kipengele bado hatujafikia pengine kesho au kesho kutwa tunaweza kukijadili.
Kura ya wazi ni kura ya aibu, kura siri ni kura ya kijasiri. Hii ndiyo tofauti yake kubwa.