Kura ya SIRI na WAZI kurudishwa kwa Wajumbe tena kwa Maamuzi

Kura ya SIRI na WAZI kurudishwa kwa Wajumbe tena kwa Maamuzi

Shetani atatoka tu...
issue zimekuwa too complicated kuliko wanavyodhani....na kw augumu wa CCM kuwa na maono au hata flexibility ya kubadilika na matukio ni ngumu sana.Sasa wanalazimisha kuingia ktk list ya wazungumzaki kihuni ili tuu wavuruge au kushindana na hoja za wachangiaji wengine.Sijui lini wataleta zao. Na hii imekuwa ni tabia ya CMC kuja na hali ya kupania ujinga huku wkaipanga kushangiliana..hadi wanapokuja kuta hali tofauti ktk plenary.Unyago wote wa Pinda kabla na baada ya bunge huyeyuka km hewa ktk baloon linapotobolewa. Issue imetangazwa na wananchi wameshakuwa aware na hukumu yao ipo wazi kwa CCM watakavyoanza tishana na mwishowe kuipa CDM umaarufu kwa ghafla..sijui akina CUF km nao wanajiuza kwa CCM halafu wazenj wakawabadili na CDM mapema kabisa hasa ktk hili la serikali 3
 
cha kushangaza wataojiondoa kwa kujiweka kubaya zaidi...
 
kwa maoni yangu hoja nzuri iliyotakiwa kusimamiwa na ccm kwa upande wa serikali Ingekuwa serikali moja,kwa kuzingatia kwamba sisi wote ni wamoja lakini kwa kusimamia serikali mbili alafu uzungumzie umoja ni jambo lisilowezekana kwa watu makini
 
CCM wanajikaanza tena....sasa hivi wanayo kazi kujinasua hapo,wameshawaamsha wananchi..sasa zikipigwa za wazi halafu wakapiga zile NDIOOOO zao imekula kwao CDM inakuwa maarufu zaidi tena, wakiamua za siri Wanapigwa tena bao
 
Back
Top Bottom