Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
issue zimekuwa too complicated kuliko wanavyodhani....na kw augumu wa CCM kuwa na maono au hata flexibility ya kubadilika na matukio ni ngumu sana.Sasa wanalazimisha kuingia ktk list ya wazungumzaki kihuni ili tuu wavuruge au kushindana na hoja za wachangiaji wengine.Sijui lini wataleta zao. Na hii imekuwa ni tabia ya CMC kuja na hali ya kupania ujinga huku wkaipanga kushangiliana..hadi wanapokuja kuta hali tofauti ktk plenary.Unyago wote wa Pinda kabla na baada ya bunge huyeyuka km hewa ktk baloon linapotobolewa. Issue imetangazwa na wananchi wameshakuwa aware na hukumu yao ipo wazi kwa CCM watakavyoanza tishana na mwishowe kuipa CDM umaarufu kwa ghafla..sijui akina CUF km nao wanajiuza kwa CCM halafu wazenj wakawabadili na CDM mapema kabisa hasa ktk hili la serikali 3Shetani atatoka tu...