CCM wameendelea kujiweka pagumu zaidi na zaidi....baada ya povu na nguvu na viroja vyote.Sasa hivi kura zote nimbaya kwa CCM. 1.Kura ya wazi:- wabunge wa CCM watapiga kura kwa wingi wao na raia watajua kuwa CCM ndio wamefanya na all of the sudden ushindi wao ktk mambo ya kijinga utapelekea wapinzani,wana harakati kuwa mashujaa overnight.Wabunge wa CCM watakuwa too scared na kujikuta wakifanya mambo ya kipumbavu kwa nguvu sana.Kwa kipindi hicho viongozi wao watashangilia sana ila baad ya hiyo session watajikuta wakigombana na raia,waandishi, etc..kwa kuia kuwa ni upotsohaji,sijui uchonganishi...Na wabunge wengine wa CCM wanaweza jilipua na kuidhalilisha sana CCM. 2.Mziki wapili ni kura ya Siri: Hapa ndio CCM walipokuwa wantetemeka hadi uti wa mgongo,ingwa si kubaya ktk public relation km upande wa kwanza.Wabunge wa CCM haswa wa zenj,na baadhi wa bara ,wanaharakati wote,na upinzani wataimaliza CCM.Huku CCM wakiambulia sifa kidogo bila lawama kubwa kwa kuonekana wamesaidia sana mchakato.CCM wanaweza toka dodoma wakitaka vuna magamba tena km kuna wenye ujasiri kidogo wa kuwapiga chini..haswa wale wanaojua kuwa nafasi z akupata ubunge ni kwa ccm ni kama hakuna tena.wengi wanamaadui wa ndani na watapigwa chini km akina shelukindo,wengine ktk majimbo yao kuna CDM imara na wengine basi tuu hawana hela za kuhonga au mtoto wa mkubwa kapenda jimbo na wanavyodhani kuwa ni ya familia zao. /n. Mchakato mzima na sensitivity ya kijinga imeibuliwa na kutoona mbali na kwa makini kwa ccm..hii issue baada ya kuboma wangedownplay na kuhamia ktk kitu kingine.sasa wao wakageuza kuwa self destructions.Hakuna mtu asiyejua kuwa CCM wanashida sana kufanya mambo consistency tena ktk kipindi hiki cha zima moto