Kura yako ipo kituoni sio nyumbani kwako

erasto Samwel

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
211
Reaction score
275
Kuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.majina yenu wanayo.ni wewe ili kuilinda hiyo kura yako ni kwenda kuiona iko salama kisha unapiga kura unamwachia wakala wako kazi nyepesi ya kuilinda kwa namna hiyo kwa pamoja. Uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa niligundua watu wasio halisi wakipiga kura kwa watu waliozila kupiga kura.ndipo na mimi nikaenda kuwastua washkaji wakapiga kura kwa majina yoyote watakayoyaona wapige kura.kwa mbinu hiyo Mpinzani alizidiwa kura nane.kama watu wake waliozila wangepiga kura angeshinda.kuna mitaa fulani wapinzani walipambana kama hivyo na wanashinda.

Kwa hiyo usijidanganye kutokwenda kupiga kura eti ni ujanja,utapigiwa kura huku umekaa nyumbani kwako.Nilazima tupambane uchaguzi ni vita.kuna kituo uchaguzi uliopita nikuta mtu mmoja akilalamika hajapiga kura ila inaonyesha amepiga kura ukawa ugomvi haswa na ushahidi hana rangi kidoleni.mwishowe alipiga kura.
Tujitokeze kupiga kura uko ni kulinda kura yako isichezewe na wahuni ambao wanakura yako.Mawakala wa upinzani muwe makini mtu anayekuja kupiga kura ni sahihi na kitambulisho chake?.na kuhakikisha anachovya rangi.na kuwa makini na kura feki alizonazo mtu anayetaka kuweka kwenye sanduku kwa kigezo anapiga kura huku akitumbukiza zingine hilo pia mawakala wengi walituangusha Mno kwa kutokuwa makini kwa mpiga kura.
Lazima tumbambane kama wale vijana wa Yugoslavia kwa kuingia ktk uchaguzi na kumshinda dikteta slobani milosevik baada ya Vyama vya upinzani kugoma kushiriki uchaguzi kama hizi za CCM.
 
Acha wakapige tu hatutaki kua sehemu ya uharamia uchaguzi ambao mgombea ameshajitangazia ushindi sasa unapata wapi muda wakushiriki? Tutabaki nazo nakuzilinda kwa wivu mkubwa mpaka hapo tutakapoona kuna mabadiliko yanayofaa na kura zetu kua salama katika kuamua

No reform No Election
 
Kuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.majina yenu wanayo.ni wewe ili kuilinda hiyo kura yako ni kwenda kuiona iko salama kisha unapiga kura unamwachia wakala wako kazi nyepesi ya kuilinda kwa namna hiyo kwa pamoja. Uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa niligundua watu wasio halisi wakipiga kura kwa watu waliozila kupiga kura.ndipo na mimi nikaenda kuwastua washkaji wakapiga kura kwa majina yoyote watakayoyaona wapige kura.kwa mbinu hiyo Mpinzani alizidiwa kura nane.kama watu wake waliozila wangepiga kura angeshinda.kuna mitaa fulani wapinzani walipambana kama hivyo na wanashinda.

Kwa hiyo usijidanganye kutokwenda kupiga kura eti ni ujanja,utapigiwa kura huku umekaa nyumbani kwako.Nilazima tupambane uchaguzi ni vita.kuna kituo uchaguzi uliopita nikuta mtu mmoja akilalamika hajapiga kura ila inaonyesha amepiga kura ukawa ugomvi haswa na ushahidi hana rangi kidoleni.mwishowe alipiga kura.
Tujitokeze kupiga kura uko ni kulinda kura yako isichezewe na wahuni ambao wanakura yako.Mawakala wa upinzani muwe makini mtu anayekuja kupiga kura ni sahihi na kitambulisho chake?.na kuhakikisha anachovya rangi.na kuwa makini na kura feki alizonazo mtu anayetaka kuweka kwenye sanduku kwa kigezo anapiga kura huku akitumbukiza zingine hilo pia mawakala wengi walituangusha Mno kwa kutokuwa makini kwa mpiga kura.
Lazima tumbambane kama wale vijana wa Yugoslavia kwa kuingia ktk uchaguzi na kumshinda dikteta slobani milosevik baada ya Vyama vya upinzani kugoma kushiriki uchaguzi kama hizi za CCM.
Haahaa tunawaachia wale wa oktoba tunatiki, wengine zetu zinabaki majumbani kwetu...
 
Ni hivi ukipiga inaibiwa ,na nyingine ya kwako wanayo wanasubiri usipoonekana kituoni wanaipiga,na ukipiga bado wanayo ya kwako wataitumia pia palipo pelea kujazilishia ushindi wa kishindo.hii kitaalamu tunaitwa,ukipiga umepiga mara mbili na usipopiga ni kama umepiga.
 
Kuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.majina yenu wanayo.ni wewe ili kuilinda hiyo kura yako ni kwenda kuiona iko salama kisha unapiga kura unamwachia wakala wako kazi nyepesi ya kuilinda kwa namna hiyo kwa pamoja. Uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa niligundua watu wasio halisi wakipiga kura kwa watu waliozila kupiga kura.ndipo na mimi nikaenda kuwastua washkaji wakapiga kura kwa majina yoyote watakayoyaona wapige kura.kwa mbinu hiyo Mpinzani alizidiwa kura nane.kama watu wake waliozila wangepiga kura angeshinda.kuna mitaa fulani wapinzani walipambana kama hivyo na wanashinda.

Kwa hiyo usijidanganye kutokwenda kupiga kura eti ni ujanja,utapigiwa kura huku umekaa nyumbani kwako.Nilazima tupambane uchaguzi ni vita.kuna kituo uchaguzi uliopita nikuta mtu mmoja akilalamika hajapiga kura ila inaonyesha amepiga kura ukawa ugomvi haswa na ushahidi hana rangi kidoleni.mwishowe alipiga kura.
Tujitokeze kupiga kura uko ni kulinda kura yako isichezewe na wahuni ambao wanakura yako.Mawakala wa upinzani muwe makini mtu anayekuja kupiga kura ni sahihi na kitambulisho chake?.na kuhakikisha anachovya rangi.na kuwa makini na kura feki alizonazo mtu anayetaka kuweka kwenye sanduku kwa kigezo anapiga kura huku akitumbukiza zingine hilo pia mawakala wengi walituangusha Mno kwa kutokuwa makini kwa mpiga kura.
Lazima tumbambane kama wale vijana wa Yugoslavia kwa kuingia ktk uchaguzi na kumshinda dikteta slobani milosevik baada ya Vyama vya upinzani kugoma kushiriki uchaguzi kama hizi za CCM.
Nendeni wenyewe mkafanye hayo maigizo yenu. Siku mtakapoacha kufanya maigizo na ubabe wenu wa kipuuzi, nitashiriki kwa moyo mmoja.
 
Kupanga foleni kupiga kura ni ujinga, Kura haziheshimiwi
 
Tafuta kazi ya kufanya siyo huu upupu
 
Kwa mfumo wa uchaguzi uliopo sasa Upige KURA ama Usioige Ndugu Samia anakwenda kuwa Rais wa nchi na Nchimbi Makamo wa Rais.

Ndiyo maana tumasema REFORMS zifanyike kwanza ili kuondoa sheria na kanuni ambazo zinapendelea mgombea wa chama tawala.

Mgombea wa Urais tokw chama tawala ambaye ndiye mteuzi wa hao marefa wakuu wa uchaguzi - unategemea kuna uchqguzi hapo?

Ati kura za Rais hazihojiwi popote, ati tume ikishamtangaza mshindi wa Urais kwisha huwezi kuilalamika popote. Hata sheria za kikoloni zilikuwa na nafuu.

No Redorms No Election.
 
Kuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.majina yenu wanayo.ni wewe ili kuilinda hiyo kura yako ni kwenda kuiona iko salama kisha unapiga kura unamwachia wakala wako kazi nyepesi ya kuilinda kwa namna hiyo kwa pamoja. Uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa niligundua watu wasio halisi wakipiga kura kwa watu waliozila kupiga kura.ndipo na mimi nikaenda kuwastua washkaji wakapiga kura kwa majina yoyote watakayoyaona wapige kura.kwa mbinu hiyo Mpinzani alizidiwa kura nane.kama watu wake waliozila wangepiga kura angeshinda.kuna mitaa fulani wapinzani walipambana kama hivyo na wanashinda.

Kwa hiyo usijidanganye kutokwenda kupiga kura eti ni ujanja,utapigiwa kura huku umekaa nyumbani kwako.Nilazima tupambane uchaguzi ni vita.kuna kituo uchaguzi uliopita nikuta mtu mmoja akilalamika hajapiga kura ila inaonyesha amepiga kura ukawa ugomvi haswa na ushahidi hana rangi kidoleni.mwishowe alipiga kura.
Tujitokeze kupiga kura uko ni kulinda kura yako isichezewe na wahuni ambao wanakura yako.Mawakala wa upinzani muwe makini mtu anayekuja kupiga kura ni sahihi na kitambulisho chake?.na kuhakikisha anachovya rangi.na kuwa makini na kura feki alizonazo mtu anayetaka kuweka kwenye sanduku kwa kigezo anapiga kura huku akitumbukiza zingine hilo pia mawakala wengi walituangusha Mno kwa kutokuwa makini kwa mpiga kura.
Lazima tumbambane kama wale vijana wa Yugoslavia kwa kuingia ktk uchaguzi na kumshinda dikteta slobani milosevik baada ya Vyama vya upinzani kugoma kushiriki uchaguzi kama hizi za CCM.
Screenshot_20250601-070306.jpg
 
Kuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.
Ndiyo maana tunasema uchague usichague, viongozi walishajichagua kitambo na hata mabaraza walishaunda
 
Back
Top Bottom