Na hapo yupo kwenye paa la serikali, imegine angekuwa kitaa🤣
Kwani ni lazima? Mbona mnajidai kama mnatoa masomo,kushawishi na kubembeleza?Kwani wanawakosesha kitu gani ninyi mkienda wao wakagoma/kuacha kupiga kura?Kuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.majina yenu wanayo.ni wewe ili kuilinda hiyo kura yako ni kwenda kuiona iko salama kisha unapiga kura unamwachia wakala wako kazi nyepesi ya kuilinda kwa namna hiyo kwa pamoja. Uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa niligundua watu wasio halisi wakipiga kura kwa watu waliozila kupiga kura.ndipo na mimi nikaenda kuwastua washkaji wakapiga kura kwa majina yoyote watakayoyaona wapige kura.kwa mbinu hiyo Mpinzani alizidiwa kura nane.kama watu wake waliozila wangepiga kura angeshinda.kuna mitaa fulani wapinzani walipambana kama hivyo na wanashinda.
Kwa hiyo usijidanganye kutokwenda kupiga kura eti ni ujanja,utapigiwa kura huku umekaa nyumbani kwako.Nilazima tupambane uchaguzi ni vita.kuna kituo uchaguzi uliopita nikuta mtu mmoja akilalamika hajapiga kura ila inaonyesha amepiga kura ukawa ugomvi haswa na ushahidi hana rangi kidoleni.mwishowe alipiga kura.
Tujitokeze kupiga kura uko ni kulinda kura yako isichezewe na wahuni ambao wanakura yako.Mawakala wa upinzani muwe makini mtu anayekuja kupiga kura ni sahihi na kitambulisho chake?.na kuhakikisha anachovya rangi.na kuwa makini na kura feki alizonazo mtu anayetaka kuweka kwenye sanduku kwa kigezo anapiga kura huku akitumbukiza zingine hilo pia mawakala wengi walituangusha Mno kwa kutokuwa makini kwa mpiga kura.
Lazima tumbambane kama wale vijana wa Yugoslavia kwa kuingia ktk uchaguzi na kumshinda dikteta slobani milosevik baada ya Vyama vya upinzani kugoma kushiriki uchaguzi kama hizi za CCM.
Kuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.majina yenu wanayo.ni wewe ili kuilinda hiyo kura yako ni kwenda kuiona iko salama kisha unapiga kura unamwachia wakala wako kazi nyepesi ya kuilinda kwa namna hiyo kwa pamoja. Uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa niligundua watu wasio halisi wakipiga kura kwa watu waliozila kupiga kura.ndipo na mimi nikaenda kuwastua washkaji wakapiga kura kwa majina yoyote watakayoyaona wapige kura.kwa mbinu hiyo Mpinzani alizidiwa kura nane.kama watu wake waliozila wangepiga kura angeshinda.kuna mitaa fulani wapinzani walipambana kama hivyo na wanashinda.
Kwa hiyo usijidanganye kutokwenda kupiga kura eti ni ujanja,utapigiwa kura huku umekaa nyumbani kwako.Nilazima tupambane uchaguzi ni vita.kuna kituo uchaguzi uliopita nikuta mtu mmoja akilalamika hajapiga kura ila inaonyesha amepiga kura ukawa ugomvi haswa na ushahidi hana rangi kidoleni.mwishowe alipiga kura.
Tujitokeze kupiga kura uko ni kulinda kura yako isichezewe na wahuni ambao wanakura yako.Mawakala wa upinzani muwe makini mtu anayekuja kupiga kura ni sahihi na kitambulisho chake?.na kuhakikisha anachovya rangi.na kuwa makini na kura feki alizonazo mtu anayetaka kuweka kwenye sanduku kwa kigezo anapiga kura huku akitumbukiza zingine hilo pia mawakala wengi walituangusha Mno kwa kutokuwa makini kwa mpiga kura.
Lazima tumbambane kama wale vijana wa Yugoslavia kwa kuingia ktk uchaguzi na kumshinda dikteta slobani milosevik baada ya Vyama vya upinzani kugoma kushiriki uchaguzi kama hizi za CCM.
Na ukumbuke,inaweza kutokea fujo baada ya watu kuudhiwa na jambo halafu upigwe marungu au hata risasi ufe.Sasa ufe kwa ajili ya mambo ya kijinga?Hata ukipiga kura wanaiba na kuongeza Kura feki kama kawaida yao Mika yote.
Bora nitulie home ninywe mbege na mupenzi wangu.
Kuliko kwenda kupigishana kelele na maccm na policcm.
Kama usipopiga wanaweza kukupigia, wanashindwa nini kujaza kura za uongo? Iwapo mtu mmoja anaweza kupiga kura zaidi ya mara moja, huo ni ushahidi tosha hakuna uchaguzi hapo.Kuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.majina yenu wanayo.ni wewe ili kuilinda hiyo kura yako ni kwenda kuiona iko salama kisha unapiga kura unamwachia wakala wako kazi nyepesi ya kuilinda kwa namna hiyo kwa pamoja. Uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa niligundua watu wasio halisi wakipiga kura kwa watu waliozila kupiga kura.ndipo na mimi nikaenda kuwastua washkaji wakapiga kura kwa majina yoyote watakayoyaona wapige kura.kwa mbinu hiyo Mpinzani alizidiwa kura nane.kama watu wake waliozila wangepiga kura angeshinda.kuna mitaa fulani wapinzani walipambana kama hivyo na wanashinda.
Kwa hiyo usijidanganye kutokwenda kupiga kura eti ni ujanja,utapigiwa kura huku umekaa nyumbani kwako.Nilazima tupambane uchaguzi ni vita.kuna kituo uchaguzi uliopita nikuta mtu mmoja akilalamika hajapiga kura ila inaonyesha amepiga kura ukawa ugomvi haswa na ushahidi hana rangi kidoleni.mwishowe alipiga kura.
Tujitokeze kupiga kura uko ni kulinda kura yako isichezewe na wahuni ambao wanakura yako.Mawakala wa upinzani muwe makini mtu anayekuja kupiga kura ni sahihi na kitambulisho chake?.na kuhakikisha anachovya rangi.na kuwa makini na kura feki alizonazo mtu anayetaka kuweka kwenye sanduku kwa kigezo anapiga kura huku akitumbukiza zingine hilo pia mawakala wengi walituangusha Mno kwa kutokuwa makini kwa mpiga kura.
Lazima tumbambane kama wale vijana wa Yugoslavia kwa kuingia ktk uchaguzi na kumshinda dikteta slobani milosevik baada ya Vyama vya upinzani kugoma kushiriki uchaguzi kama hizi za CCM.
Mimi nitakaa nyumbani,kama kura iko kituoni achana nayo ibaki hukohuko ila mimi nabaki nyumbani. Alishasema Nape akiwa Bukoba,akasema yule aliyekuwa DC wa Longido lkn zaidi aliyekuwa mgombea mwenza wa kiti cha Raisi mwaka 2020 upande wa CCM akesema hivi "Hata utie sukari kiasi gani ndani ya ziwa haiwezi kukoza"Kuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.majina yenu wanayo.ni wewe ili kuilinda hiyo kura yako ni kwenda kuiona iko salama kisha unapiga kura unamwachia wakala wako kazi nyepesi ya kuilinda kwa namna hiyo kwa pamoja. Uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa niligundua watu wasio halisi wakipiga kura kwa watu waliozila kupiga kura.ndipo na mimi nikaenda kuwastua washkaji wakapiga kura kwa majina yoyote watakayoyaona wapige kura.kwa mbinu hiyo Mpinzani alizidiwa kura nane.kama watu wake waliozila wangepiga kura angeshinda.kuna mitaa fulani wapinzani walipambana kama hivyo na wanashinda.
Kwa hiyo usijidanganye kutokwenda kupiga kura eti ni ujanja,utapigiwa kura huku umekaa nyumbani kwako.Nilazima tupambane uchaguzi ni vita.kuna kituo uchaguzi uliopita nikuta mtu mmoja akilalamika hajapiga kura ila inaonyesha amepiga kura ukawa ugomvi haswa na ushahidi hana rangi kidoleni.mwishowe alipiga kura.
Tujitokeze kupiga kura uko ni kulinda kura yako isichezewe na wahuni ambao wanakura yako.Mawakala wa upinzani muwe makini mtu anayekuja kupiga kura ni sahihi na kitambulisho chake?.na kuhakikisha anachovya rangi.na kuwa makini na kura feki alizonazo mtu anayetaka kuweka kwenye sanduku kwa kigezo anapiga kura huku akitumbukiza zingine hilo pia mawakala wengi walituangusha Mno kwa kutokuwa makini kwa mpiga kura.
Lazima tumbambane kama wale vijana wa Yugoslavia kwa kuingia ktk uchaguzi na kumshinda dikteta slobani milosevik baada ya Vyama vya upinzani kugoma kushiriki uchaguzi kama hizi za CCM.
Andiko kubwa poor logic. Badala ya kwenda kupoteza mda kupanga folen ntatumia huo mda kulima tuta la viaz. Ni hivi, hiyo forgery huko kafanyeji mradi mie sijashiriki kuhalalisha haramuKuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.majina yenu wanayo.ni wewe ili kuilinda hiyo kura yako ni kwenda kuiona iko salama kisha unapiga kura unamwachia wakala wako kazi nyepesi ya kuilinda kwa namna hiyo kwa pamoja. Uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa niligundua watu wasio halisi wakipiga kura kwa watu waliozila kupiga kura.ndipo na mimi nikaenda kuwastua washkaji wakapiga kura kwa majina yoyote watakayoyaona wapige kura.kwa mbinu hiyo Mpinzani alizidiwa kura nane.kama watu wake waliozila wangepiga kura angeshinda.kuna mitaa fulani wapinzani walipambana kama hivyo na wanashinda.
Kwa hiyo usijidanganye kutokwenda kupiga kura eti ni ujanja,utapigiwa kura huku umekaa nyumbani kwako.Nilazima tupambane uchaguzi ni vita.kuna kituo uchaguzi uliopita nikuta mtu mmoja akilalamika hajapiga kura ila inaonyesha amepiga kura ukawa ugomvi haswa na ushahidi hana rangi kidoleni.mwishowe alipiga kura.
Tujitokeze kupiga kura uko ni kulinda kura yako isichezewe na wahuni ambao wanakura yako.Mawakala wa upinzani muwe makini mtu anayekuja kupiga kura ni sahihi na kitambulisho chake?.na kuhakikisha anachovya rangi.na kuwa makini na kura feki alizonazo mtu anayetaka kuweka kwenye sanduku kwa kigezo anapiga kura huku akitumbukiza zingine hilo pia mawakala wengi walituangusha Mno kwa kutokuwa makini kwa mpiga kura.
Lazima tumbambane kama wale vijana wa Yugoslavia kwa kuingia ktk uchaguzi na kumshinda dikteta slobani milosevik baada ya Vyama vya upinzani kugoma kushiriki uchaguzi kama hizi za CCM.
Hii nukuu aliitoaga Plato kabla hata ya ujio wa YESU Trump aliipandia tu."Changamoto kubwa ya ulimwengu kwa sasa ni kwamba wenye akili hawataki kujihusisha na siasa,hivyo wajinga wamepewa mamlaka ya kutawala wenye akili na wasio na akili"
Donard Trump