erasto Samwel
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 211
- 275
Acha wakapige tu hatutaki kua sehemu ya uharamia uchaguzi ambao mgombea ameshajitangazia ushindi sasa unapata wapi muda wakushiriki? Tutabaki nazo nakuzilinda kwa wivu mkubwa mpaka hapo tutakapoona kuna mabadiliko yanayofaa na kura zetu kua salama katika kuamuaKuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.majina yenu wanayo.ni wewe ili kuilinda hiyo kura yako ni kwenda kuiona iko salama kisha unapiga kura unamwachia wakala wako kazi nyepesi ya kuilinda kwa namna hiyo kwa pamoja. Uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa niligundua watu wasio halisi wakipiga kura kwa watu waliozila kupiga kura.ndipo na mimi nikaenda kuwastua washkaji wakapiga kura kwa majina yoyote watakayoyaona wapige kura.kwa mbinu hiyo Mpinzani alizidiwa kura nane.kama watu wake waliozila wangepiga kura angeshinda.kuna mitaa fulani wapinzani walipambana kama hivyo na wanashinda.
Kwa hiyo usijidanganye kutokwenda kupiga kura eti ni ujanja,utapigiwa kura huku umekaa nyumbani kwako.Nilazima tupambane uchaguzi ni vita.kuna kituo uchaguzi uliopita nikuta mtu mmoja akilalamika hajapiga kura ila inaonyesha amepiga kura ukawa ugomvi haswa na ushahidi hana rangi kidoleni.mwishowe alipiga kura.
Tujitokeze kupiga kura uko ni kulinda kura yako isichezewe na wahuni ambao wanakura yako.Mawakala wa upinzani muwe makini mtu anayekuja kupiga kura ni sahihi na kitambulisho chake?.na kuhakikisha anachovya rangi.na kuwa makini na kura feki alizonazo mtu anayetaka kuweka kwenye sanduku kwa kigezo anapiga kura huku akitumbukiza zingine hilo pia mawakala wengi walituangusha Mno kwa kutokuwa makini kwa mpiga kura.
Lazima tumbambane kama wale vijana wa Yugoslavia kwa kuingia ktk uchaguzi na kumshinda dikteta slobani milosevik baada ya Vyama vya upinzani kugoma kushiriki uchaguzi kama hizi za CCM.
Haahaa tunawaachia wale wa oktoba tunatiki, wengine zetu zinabaki majumbani kwetu...Kuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.majina yenu wanayo.ni wewe ili kuilinda hiyo kura yako ni kwenda kuiona iko salama kisha unapiga kura unamwachia wakala wako kazi nyepesi ya kuilinda kwa namna hiyo kwa pamoja. Uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa niligundua watu wasio halisi wakipiga kura kwa watu waliozila kupiga kura.ndipo na mimi nikaenda kuwastua washkaji wakapiga kura kwa majina yoyote watakayoyaona wapige kura.kwa mbinu hiyo Mpinzani alizidiwa kura nane.kama watu wake waliozila wangepiga kura angeshinda.kuna mitaa fulani wapinzani walipambana kama hivyo na wanashinda.
Kwa hiyo usijidanganye kutokwenda kupiga kura eti ni ujanja,utapigiwa kura huku umekaa nyumbani kwako.Nilazima tupambane uchaguzi ni vita.kuna kituo uchaguzi uliopita nikuta mtu mmoja akilalamika hajapiga kura ila inaonyesha amepiga kura ukawa ugomvi haswa na ushahidi hana rangi kidoleni.mwishowe alipiga kura.
Tujitokeze kupiga kura uko ni kulinda kura yako isichezewe na wahuni ambao wanakura yako.Mawakala wa upinzani muwe makini mtu anayekuja kupiga kura ni sahihi na kitambulisho chake?.na kuhakikisha anachovya rangi.na kuwa makini na kura feki alizonazo mtu anayetaka kuweka kwenye sanduku kwa kigezo anapiga kura huku akitumbukiza zingine hilo pia mawakala wengi walituangusha Mno kwa kutokuwa makini kwa mpiga kura.
Lazima tumbambane kama wale vijana wa Yugoslavia kwa kuingia ktk uchaguzi na kumshinda dikteta slobani milosevik baada ya Vyama vya upinzani kugoma kushiriki uchaguzi kama hizi za CCM.
Nendeni wenyewe mkafanye hayo maigizo yenu. Siku mtakapoacha kufanya maigizo na ubabe wenu wa kipuuzi, nitashiriki kwa moyo mmoja.Kuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.majina yenu wanayo.ni wewe ili kuilinda hiyo kura yako ni kwenda kuiona iko salama kisha unapiga kura unamwachia wakala wako kazi nyepesi ya kuilinda kwa namna hiyo kwa pamoja. Uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa niligundua watu wasio halisi wakipiga kura kwa watu waliozila kupiga kura.ndipo na mimi nikaenda kuwastua washkaji wakapiga kura kwa majina yoyote watakayoyaona wapige kura.kwa mbinu hiyo Mpinzani alizidiwa kura nane.kama watu wake waliozila wangepiga kura angeshinda.kuna mitaa fulani wapinzani walipambana kama hivyo na wanashinda.
Kwa hiyo usijidanganye kutokwenda kupiga kura eti ni ujanja,utapigiwa kura huku umekaa nyumbani kwako.Nilazima tupambane uchaguzi ni vita.kuna kituo uchaguzi uliopita nikuta mtu mmoja akilalamika hajapiga kura ila inaonyesha amepiga kura ukawa ugomvi haswa na ushahidi hana rangi kidoleni.mwishowe alipiga kura.
Tujitokeze kupiga kura uko ni kulinda kura yako isichezewe na wahuni ambao wanakura yako.Mawakala wa upinzani muwe makini mtu anayekuja kupiga kura ni sahihi na kitambulisho chake?.na kuhakikisha anachovya rangi.na kuwa makini na kura feki alizonazo mtu anayetaka kuweka kwenye sanduku kwa kigezo anapiga kura huku akitumbukiza zingine hilo pia mawakala wengi walituangusha Mno kwa kutokuwa makini kwa mpiga kura.
Lazima tumbambane kama wale vijana wa Yugoslavia kwa kuingia ktk uchaguzi na kumshinda dikteta slobani milosevik baada ya Vyama vya upinzani kugoma kushiriki uchaguzi kama hizi za CCM.
Kupanga foleni kupiga kura ni ujinga, Kura haziheshimiwiKuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.majina yenu wanayo.ni wewe ili kuilinda hiyo kura yako ni kwenda kuiona iko salama kisha unapiga kura unamwachia wakala wako kazi nyepesi ya kuilinda kwa namna hiyo kwa pamoja. Uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa niligundua watu wasio halisi wakipiga kura kwa watu waliozila kupiga kura.ndipo na mimi nikaenda kuwastua washkaji wakapiga kura kwa majina yoyote watakayoyaona wapige kura.kwa mbinu hiyo Mpinzani alizidiwa kura nane.kama watu wake waliozila wangepiga kura angeshinda.kuna mitaa fulani wapinzani walipambana kama hivyo na wanashinda.
Kwa hiyo usijidanganye kutokwenda kupiga kura eti ni ujanja,utapigiwa kura huku umekaa nyumbani kwako.Nilazima tupambane uchaguzi ni vita.kuna kituo uchaguzi uliopita nikuta mtu mmoja akilalamika hajapiga kura ila inaonyesha amepiga kura ukawa ugomvi haswa na ushahidi hana rangi kidoleni.mwishowe alipiga kura.
Tujitokeze kupiga kura uko ni kulinda kura yako isichezewe na wahuni ambao wanakura yako.Mawakala wa upinzani muwe makini mtu anayekuja kupiga kura ni sahihi na kitambulisho chake?.na kuhakikisha anachovya rangi.na kuwa makini na kura feki alizonazo mtu anayetaka kuweka kwenye sanduku kwa kigezo anapiga kura huku akitumbukiza zingine hilo pia mawakala wengi walituangusha Mno kwa kutokuwa makini kwa mpiga kura.
Lazima tumbambane kama wale vijana wa Yugoslavia kwa kuingia ktk uchaguzi na kumshinda dikteta slobani milosevik baada ya Vyama vya upinzani kugoma kushiriki uchaguzi kama hizi za CCM.
Tafuta kazi ya kufanya siyo huu upupuKuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.majina yenu wanayo.ni wewe ili kuilinda hiyo kura yako ni kwenda kuiona iko salama kisha unapiga kura unamwachia wakala wako kazi nyepesi ya kuilinda kwa namna hiyo kwa pamoja. Uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa niligundua watu wasio halisi wakipiga kura kwa watu waliozila kupiga kura.ndipo na mimi nikaenda kuwastua washkaji wakapiga kura kwa majina yoyote watakayoyaona wapige kura.kwa mbinu hiyo Mpinzani alizidiwa kura nane.kama watu wake waliozila wangepiga kura angeshinda.kuna mitaa fulani wapinzani walipambana kama hivyo na wanashinda.
Kwa hiyo usijidanganye kutokwenda kupiga kura eti ni ujanja,utapigiwa kura huku umekaa nyumbani kwako.Nilazima tupambane uchaguzi ni vita.kuna kituo uchaguzi uliopita nikuta mtu mmoja akilalamika hajapiga kura ila inaonyesha amepiga kura ukawa ugomvi haswa na ushahidi hana rangi kidoleni.mwishowe alipiga kura.
Tujitokeze kupiga kura uko ni kulinda kura yako isichezewe na wahuni ambao wanakura yako.Mawakala wa upinzani muwe makini mtu anayekuja kupiga kura ni sahihi na kitambulisho chake?.na kuhakikisha anachovya rangi.na kuwa makini na kura feki alizonazo mtu anayetaka kuweka kwenye sanduku kwa kigezo anapiga kura huku akitumbukiza zingine hilo pia mawakala wengi walituangusha Mno kwa kutokuwa makini kwa mpiga kura.
Lazima tumbambane kama wale vijana wa Yugoslavia kwa kuingia ktk uchaguzi na kumshinda dikteta slobani milosevik baada ya Vyama vya upinzani kugoma kushiriki uchaguzi kama hizi za CCM.
Kuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.majina yenu wanayo.ni wewe ili kuilinda hiyo kura yako ni kwenda kuiona iko salama kisha unapiga kura unamwachia wakala wako kazi nyepesi ya kuilinda kwa namna hiyo kwa pamoja. Uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa niligundua watu wasio halisi wakipiga kura kwa watu waliozila kupiga kura.ndipo na mimi nikaenda kuwastua washkaji wakapiga kura kwa majina yoyote watakayoyaona wapige kura.kwa mbinu hiyo Mpinzani alizidiwa kura nane.kama watu wake waliozila wangepiga kura angeshinda.kuna mitaa fulani wapinzani walipambana kama hivyo na wanashinda.
Kwa hiyo usijidanganye kutokwenda kupiga kura eti ni ujanja,utapigiwa kura huku umekaa nyumbani kwako.Nilazima tupambane uchaguzi ni vita.kuna kituo uchaguzi uliopita nikuta mtu mmoja akilalamika hajapiga kura ila inaonyesha amepiga kura ukawa ugomvi haswa na ushahidi hana rangi kidoleni.mwishowe alipiga kura.
Tujitokeze kupiga kura uko ni kulinda kura yako isichezewe na wahuni ambao wanakura yako.Mawakala wa upinzani muwe makini mtu anayekuja kupiga kura ni sahihi na kitambulisho chake?.na kuhakikisha anachovya rangi.na kuwa makini na kura feki alizonazo mtu anayetaka kuweka kwenye sanduku kwa kigezo anapiga kura huku akitumbukiza zingine hilo pia mawakala wengi walituangusha Mno kwa kutokuwa makini kwa mpiga kura.
Lazima tumbambane kama wale vijana wa Yugoslavia kwa kuingia ktk uchaguzi na kumshinda dikteta slobani milosevik baada ya Vyama vya upinzani kugoma kushiriki uchaguzi kama hizi za CCM.
Ndiyo maana tunasema uchague usichague, viongozi walishajichagua kitambo na hata mabaraza walishaundaKuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura pasipo wewe kujua.