mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kwani wewe ni mtanzania?Lissu atapigiwa kura na robert tu
Uchaguzi huu ni kuwafundisha Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana
Kama nilivyo kwambia akili unazo ila kwenye utimamu sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]pole sana....embu nikusaidie kidogo kufikiria mana ww ni mzigo wa haja ....chadema ni chama cha pili kwa kuwa na idadi kubwa ya madiwani na wabunge manake wanapata ruthuk kubwa ukiacha ccm, wabunge wake wanalazimika kutoa gawio kwa chama katika kila mshara wa mwezi, wanawashirika manake wanapata fedha kutoka kwa miaka 25 niambie mnatua uchawi gani mpka mkajenga huu upuzi[emoji116] alfu bila haya wala aibu unamzungumzia Magu mjinga kabisa ww...Ndiyo maana hatuishi kwenye nyumba za tembe kama ndugu zako, mpuuzi wewe mimi nichague jitu katili hivyo nimelaaniwa na nani? nikaribishe mkosi nyumbani kwangu, fanya research mpuuzi wewe uone sehemu zilizoendelea siku zote ni Chadema kwenye tembe na Ufukara ni CCM.
ruthuk= sijui ndiyo bibi yako, CCM imejenga nini zaidi ya kupora mali za umma? ungekuwa umepanga chumba kidogo akili ungekuwa nazo sasa hii kuishi kwa dada ako ambaye anapata maumivu ili wewe ule ndiyo imekumaliza mkuu, kati ya majimbo ya Chadema na CCM ni wapi kwa mafukara na wajinga wengi kama wewe? tena kwenye nyumba za temberuthuk kubwa ukiacha ccm, wabunge wake wanalazimika kutoa gawio kwa chama katika kila mshara wa mwezi, wanawashirika manake wanapata fedha kutoka kwa miaka 25 niambie mnatua uchawi gani mpka mkajenga huu upuzialfu bila haya wala aibu unamzungumzia Magu mjinga kabisa ww
Kweli mkuu vivuko vya barabara tunaambiwa fly overSisi mabeberu tunamtaka rais atakayekuwa
1.Mteja wa cash kwa campuny zetu za Boeing na bombardiers
2.Sisi wachina tunataka atakae wanyima wananchi wake mishahara ili sisi tupate tenda za kujenga vivuko vya barabara kwa jina la flyover
3.Sisi acacia tunataka MTU ambae akisema anatudai 400trilion tukimtishia anashusha hadi 300Mln
Muoga atakae tupa mikataba tuitakayo sisi.
4.Sisi mabeberu wa turkey tunataka kuhakikishiwa Tenda ya SGR.
5.Sisi mabeberu wa Egypt tunataka MTU atakayeendelea kukumbatia mkataba tuliomuingiza chaka juu ya stiglars Gorge.
6.Sisi mabeberu tunataka MTU atakae wanyang'anya wananchi wake korosho halafu aje atuuzie sisi kwa bei nafuu kabisa.
Mimi najua anaetumika kwa manufaa ya mabeberu ni jiwe
Ww kama nilivyo kwambia akili mzigo ... jibu swali mlitumia uchawi gani kufanikisha hili[emoji116] kama huna uwezi jibu funga bakuli pita kule sihitaji vizu mm....usiniambukize ujinga wako...ruthuk= sijui ndiyo bibi yako, CCM imejenga nini zaidi ya kupora mali za umma? ungekuwa umepanga chumba kidogo akili ungekuwa nazo sasa hii kuishi kwa dada ako ambaye anapata maumivu ili wewe ule ndiyo imekumaliza mkuu, kati ya majimbo ya Chadema na CCM ni wapi kwa mafukara na wajinga wengi kama wewe? tena kwenye nyumba za tembe
Unauhakika sasa hivi wewe si kichaa?Ilinifanikiwe kumpigia kura lisunge basi inabidi niwe kicha kwanza....upupu tu umejaa humu....Magu kafanya zaidi ya hitaji ...na hakuna wa kulipinga hili
Unalaana ya kizazi chako choteWw kama nilivyo kwambia akili mzigo ... jibu swali mlitumia uchawi gani kufanikisha hili[emoji116] kama huna uwezi jibu funga bakuli pita kule sihitaji vizu mm....usiniambukize ujinga wako...View attachment 1594648
Ww ni andazi nenda kwa mama ntilie ndo ana ukaribu na ww ,acha kundika maneno yako yaliyopungukiwa,ww ni mweupe Sana kichwani
Tupo wengi tutakao mpigia akiwepo baba ako, nani achague jitu katili kama fisi
Inaonekana iyo lana ndio kitu ulipewa ...sasa unahisi kilq mtu ni kama ww...poleUnalaana ya kizazi chako chote
Kwa akili zako ni sawaKuna mtu katili na msaliti wa Nchi kama lissu ?
Ndiyo maana unachagua jitu katili sababu MUNGU amekunyima akili ya kujua mema na mabayaInaonekana iyo lana ndio kitu ulipewa ...sasa unahisi kilq mtu ni kama ww...pole
Inaonekana iyo lana ndio kitu ulipewa ...sasa unahisi kilq mtu ni kama ww...pole
Ni kweli hajaandika kipya. Lakini ukweli ni ule ule kuwa Lissu tu ndiye Rais bora kwa sasa.Sijasoma ulichoandika, ila kwa kifupi Mimi na familia yangu Kura yetu ni kwa LISSU.